kisaka victpr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 657
- 116
Hasa watu wa hostel.Mabweni ya Mawenzi,Shira,kibo na Meru.Wapi kidarafa,Mwambalila,ErastoTembo nk.Mnamkumbuka boarding master(metal work)jamaa alikuwa mwizi balaa,mwl.Tovu,Bwiru,mama Mmbaga english.Tifu la kolila sec wakati wa mechi.Tukumbushane.