CCM haibomoi ila Wizara ya Ardhi

CCM haibomoi ila Wizara ya Ardhi

Ccm ni ile ile,hata miaka iweje haiwez kuwasaidia watanzania,ccm hii hii ndo iliwaacha watu wajenge bondeni na ccm hii hii ndo inawabomolea watu nyumba
Hawawezi ccm kuruhusu ndiyo maana wanaitwa wavamizi
 
Tatizo siyo kuwa mabondeni bali ni kuishi kwenye mabonde yasiyo na miundombinu toshelezi!! Ujumbe ninaoupata ni kwamba CCM haiwezi kupambana na changamoto. Kuna nchi chungu nzima watu wamejenga pembezoni mwa mto likiwemo jiji la London. Kama hayo "Mabonde" yenu mnashindwa kuyawekea miundo mbinu ya kuzuia maji kuvamia makazi ya watu, mtaweza kweli kama mkipewa kuendesha jiiji la Bankok huko Thailand?
Ujenzi wa pembezoni ya mito london na mkwajuni unafanana
 
Umeelewa mantiki yangu? Kama umefika pale SUKITA utaona tofauti iliyopo kati yake na Mkwajuni unapopasema. Kama unakumbuka zile "stages" za binadamu utakumbuka kwamba kuna "stage" ambapo Mazingira yanamtawala Binadamu lakini baada ya binadamu kugundua moto akaanza kuyatawala mazingira.

Kule Uarabuni wao wanaifukuza bahari sisi hapa Tanzania bahari inatufukuza sisi!! Kama kuna mafuriko jee tumetumia Sayansi na Teknolojia yote tuliyo nayo kuyazuia yasifike kwenye makazi ya watu?
 
Kifupi wanao jenga pembezoni na mito ulaya lazima uwe na pesa halafu kwanini utake maeneo bondeni mbona tanzania kubwa sana
 
Nani kakwambia kwamba wanaojenga Pembezoni mwa mito ulaya ni wenye pesa? Suala hapa kwa umasikini wetu kila mwenye nyumba ulaya ni mwenye pesa/ Halafu hayo mambo ya kusema kwamba Tanzania ni kubwa ni ya kizamani sana. Mimi nimeamua kuishi Iringa unadhani watanzania wote wanataka kuishi Iringa? Kitaalamu watu huchagua kuishi maeneo ambayo maslahi yao yatatimizwa.
 
Kuishi ujakatazwa tatizo umejenga bondeni
 
Mwai Kibaki aliwaleta wataalamu wa kulima sehemu kama kutoka Israel ili wasaidie kilimo maeneo kama nchini Kenya. Wale waisrael wakamwambia hawajaoa sehemu wanayoweza kutumia ujuzi wao kwani sehemu zote walizopelekwa maji ya aridhi yapo ya kutosha na yanapatikana kwa urahisi. Hayo mnayoyaita Mabonde kwa Sayansi na Teknolojia tanayoijua haiwezekani kuzuia maji yasiende sehemu za makazi ya watu?
 
Ilani ya CCM inasemaje kuhusu mambo ya Ardhi?
jamaa yangu umesema kweli tupu
ndani ya CCM Ilani ilidai kila Raia atapewa ardhi na aimiliki
jii Bomoa bomoa na kuwafukuza Watanzania ni mihemuko tu ya Hapa Kazi
Ndio maana kila Waziri ili aonekane kwenye Kikao vha Baraza la Mawaziri angalau naye kafukuza wangapi
Mahakama sasa itawaumbua
kwani CCM haifuati Sheria tena hapa
 
Mwai Kibaki aliwaleta wataalamu wa kulima sehemu kama kutoka Israel ili wasaidie kilimo maeneo kama nchini Kenya. Wale waisrael wakamwambia hawajaoa sehemu wanayoweza kutumia ujuzi wao kwani sehemu zote walizopelekwa maji ya aridhi yapo ya kutosha na yanapatikana kwa urahisi. Hayo mnayoyaita Mabonde kwa Sayansi na Teknolojia tanayoijua haiwezekani kuzuia maji yasiende sehemu za makazi ya watu?
Yani wewe kila hizo gharama si bora tujenge shule
 
jamaa yangu umesema kweli tupu
ndani ya CCM Ilani ilidai kila Raia atapewa ardhi na aimiliki
jii Bomoa bomoa na kuwafukuza Watanzania ni mihemuko tu ya Hapa Kazi
Ndio maana kila Waziri ili aonekane kwenye Kikao vha Baraza la Mawaziri angalau naye kafukuza wangapi
Mahakama sasa itawaumbua
kwani CCM haifuati Sheria tena hapa
Unachanganya yaiviza na nyanya unasema mboga tamu
 
Nikawaida kumsikia mtu CCM wameamuwa kutubomolea, CCM leo hii wabaya jamani nani kakwambia CCM ndiyo inabomoa ni kiongozi gani wachama umemsikia anasema hayo Mwenyekiti, Makamu, Katibu au jumuia ipi wazazi, vijana, wazee, kinamama.

Haya kwakuwa wanao bomoa ni CCM basi wanaobomolewa ni UKAWA wote kawaida ingekuwa CCM angebagua nyumba za wanachama wake ila kwa kuwa ni serikali inatekeleza sheria haibagui kitu.

CCM ni chama makini mmekitukana kwakuwa kilikuwa hakifuati sheria, kinatetea watu sasa wamesema basi liwalonaliwe.Mlikuwa naona raha kusikia kigogo kasimamishwa,kafukuzwa kazi mkajua sheria inasimama kwa watu wahali ya juu tu.

SHERIA MSUMENO IACHENI CCM ITULIE IMESHAMALIZA KAZI YA KULETA KIONGOZI MAKINI NA WABUNGE SHUPAVU KAZI KWENU

Pumba tupu
 
Swala hili la kubomoa lingeanza kabla ya uchaguzi ungesikia maonyo makali kwa wizara husika
 
Huyu mleta mada hajui hata majukumu ya chama tawala kwa serikali. Ingekuwa serikali inasifiwa wangesema ni kwa sababu ya CCM
 
Wananchi wanaitaja CCM Kwa sababu serikali inapowasihi waondoke kwenye maeneo hayo viongozi Wa CCM huwawekea kifua Na kudai ni wapiga kura wao ndio maana Leo wanaitaja kuhusika Na ubomoaji ukizingatia serikali in ya CCM Mkuu CCM ndio inayowabomolea CCM BOMOA BOMOA
 
W
We pimbi hiyo ni sheria ipo wizarani imetungwa na bunge na siyo ccm
Wewe Kardinalii Wizara ya ardhi inatekeleza sheria kandamizi katika ilani ya CCM iliotungwa na bunge lilio tawaliwa na CCM
UTAISOMA NAMBA MBELE KWA MBELE
 
Na waliotoa hati/vibali vya kuishi kwa wakazi maeneo hayo sio wizara ya ardhi bali watendaji sio?!!

Huwa hamkosi cha kusingizia ... Tunawajua.
 
Nikawaida kumsikia mtu CCM wameamuwa kutubomolea, CCM leo hii wabaya jamani nani kakwambia CCM ndiyo inabomoa ni kiongozi gani wachama umemsikia anasema hayo Mwenyekiti, Makamu, Katibu au jumuia ipi wazazi, vijana, wazee, kinamama.

Haya kwakuwa wanao bomoa ni CCM basi wanaobomolewa ni UKAWA wote kawaida ingekuwa CCM angebagua nyumba za wanachama wake ila kwa kuwa ni serikali inatekeleza sheria haibagui kitu.

CCM ni chama makini mmekitukana kwakuwa kilikuwa hakifuati sheria, kinatetea watu sasa wamesema basi liwalonaliwe.Mlikuwa naona raha kusikia kigogo kasimamishwa,kafukuzwa kazi mkajua sheria inasimama kwa watu wahali ya juu tu.

SHERIA MSUMENO IACHENI CCM ITULIE IMESHAMALIZA KAZI YA KULETA KIONGOZI MAKINI NA WABUNGE SHUPAVU KAZI KWENU
Hivi wewe hujui kuwa serikali inasimamia na kutekeleza sera za chama? Chama tawala kama hakitaki kitu fulani wataiambia serikali yao waache na serikali itaacha... Go and learn these things once more...
 
Back
Top Bottom