VFD hiyo ni risit kwa njia ya Mobile APP. Yani wana install App kwa simu yako (ni kama App flan hivi ya shop management) ukifanya mauzo unaingiza kwenye simu yako then una issue TRA receipt. Sasa unaweza share hiyo receipt kwa njia ya email, whatsapp au uka i print kwa kutumia bluetooth printer...
Naomba kujua, nataka kuanza kuuza Gesi za friji;
1. Maduka ya kuuza Gesi za friji kwa jumla yanapatikana maeneo gani jijini Dar es Salaam
2. Gesi za aina gani zinazotumika kwenye Friji, AC, na AC za magari na zipi zilizopitwa na wakati (yani R22 au R420 n.k.)
Kwenye kila Kabila (au jamii tuseme) Wahindi, Wazungu, waafrika kuna vichwa maji na wapambanaji wanaofanikiwa. Kwahyo usitumie mifano michache kuwapamba au kuwaponda kabila au jamii flani. Kuna wahindi mburula mpaka unashangaa huyu wa wapi kama ilivyo kuna waafrika wapo smart na wanatuwakilisha...
Hiyo biashara ya Mangi ni inataka moyo
Ni biashara ambayo ni rahisi-ngumu. Yani ni rahisi kuanza lakini uendeshaji wake ni Balaa.
Changamoto kubwa ni:
1) Muda wa kufungua na kufunga
2) Hesabu yake dukani (kama ndo umeajiri mtu, uwe na moyo wa uvumilivu)
Tutaendelea....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.