Recent content by Kirusha julius

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nini kinamsukuma Baba kumlala Binti yake?

    Unajua kichaa sio lazima aokote makopo. Ina maana hiyo ni sura nyingine ya ukichaa!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Pata Sheria mbalimbali za Tanzania bure hapa!

    Naombeni nielekezeni wapi kufahamu sheria za tanzania kwa kiswahili
  3. K

    JamiiForums Tanzania Innovation

    Maana ya innovation
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sheria ya madai

    Naombeni jamani msaada, kwani nimekua nikikopa kwenye tasisi flani za fedha. Nilipofikia kukopa milioni 7 waliniambia nilete kwanza milioni 5 ili kufidia sh. 1500000 iliyobakia katika mkopo uliotangulia wa milioni 3. na milioni tatu na nusu itakayobaki wataifadhi kama dhamana ya mkopo. Baada...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msipochangamia mada yangu ...

    Katika hili inategemea pia imani katika mtazamo wako juu ya wanaume,nini walikufanyia kabla ni kipi kibaya ulisikia kuwahusu.wanaume wa kweli wapo. Ila badili kwanza hisia chanya juu yao. upo?
Back
Top Bottom