Sheria ya madai | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheria ya madai

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Kirusha julius, Feb 25, 2011.

 1. K

  Kirusha julius Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni jamani msaada, kwani nimekua nikikopa kwenye tasisi flani za fedha. Nilipofikia kukopa milioni 7 waliniambia nilete kwanza milioni 5 ili kufidia sh. 1500000 iliyobakia katika mkopo uliotangulia wa milioni 3. na milioni tatu na nusu itakayobaki wataifadhi kama dhamana ya mkopo. Baada ya makubaliano nikawapelekea milioni tano. Baada ya hapo wakaenda kuangalia biashara yangu kama inaridhisha. Baadaye wakaniambia nije siku inayofuata. Nilipoenda wakaniambia biashara yangu hairidhishi kuchukua mkopo wa milioni saba, wakaniambia unastahili kuchukua milioni tano tu.. Nikawaambia wanirudishie miliono zangu tano tuanze upya mkataba wa milioni tano kwa kuwa mkataba niliosaini ni wa milioni7. Wakakataa mwishoni wanipa milioni tano kama mkopo wa kurudisha na riba. nikawaambia mi si nimewapa milioni tano sasa hizi si hela zangu? Baadaye wananifuata niwalipe tena milioni tano. Sheria inasemaje!
   
Loading...