Msipochangamia mada yangu ...

Katika hili inategemea pia imani katika mtazamo wako juu ya wanaume,nini walikufanyia kabla ni kipi kibaya ulisikia kuwahusu.wanaume wa kweli wapo. Ila badili kwanza hisia chanya juu yao. upo?
 
Umeshakunywa hiyo sumu?kama bado kunywa tena ile ya panya inaua haraka sana:frusty::yield::kev::shetani::violin::angry:
 
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.

nadhani hujajiua,
bado upo hai!!!!!!
 
ww sio mnywaji ungekuwa mnywaji usingekuja kuuliza hapa,ungekunywa tu na taarifa za kifo chako 2ngezipata kule kwenye matangazo madogomadogo
 
Wana JF MMU,

Salaam sana, na baada ya salaam je hamjambo? Mie sijambo ila hofu na mashaka ni juu yenu mlio mbali na upeo wa macho yangu. Nikilala nawaota, nikinywa maji nawaona kwenye glasi.

Nawashukuru sana kwa michango yenu katika thread ya "Nishaurini nataka kula sumu". Ilikuwa ni thread ya utani lakini iliyotaka kuona umakini wa watu wa MMU. Mmedhihirisha umakini wenu. Nawashukuru tena.

Katika maisha usiseme "ni utani". Chukulia kila jambo linalotamkwa na mtu kwa umakini. Nchi yetu imefika ilipofika kwa sababu watu tuna"ignore". Mfano, watu hukosa kupiga kura kwa madai "KURA MOJA ITASAIDIA NINI? "HATA TUSIPOWACHAGUA WATASHINDA TU".

Watu wasio makini wangekosa kuchangia na kusema "ACHA TUONE KAMA KWELI ATAKULA SUMU SAA 6.02". Ningejiua wangesema "KUMBE ALIKUWA HATANII, MASKINI, AFADHALI NINGECHANGIA". Ningechangia ingekuwa too late kwa marehemu, kama ilivyo kwa kiongozi aliyechaguliwa na watu wachache.

MUNGU AAWABARIKI.

CashJ.
 
Oooops nimechelewa sijui keshakunywa sumu??? kashaijab upoooooooo
 
Gaga...hata nami nimechelewa; jamani tupeni news.....Kaishajab......keshatekeleza uamuzi wake, au kaahirisha baada ya thread kufikisha 5pags???

Nilikuwa na hamu na ubwabwa......LOL!
 
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.
Yaani we mtani hujafa tu, hebu kunywa hiyo sumu haraka sana ufe~tuna hamu ya kunywa Rubisi kwenye matanga yako!.
 
Jamani nimechelewa hapa, kwani keshakunywa? Kama bado ninayo sumu nzuri sana marehemu wote walioitumia waliisifu
 
Bado upo hai kashaijabutege? nimechangia haya mwaga senkyu
 
Nawashukuru wana MMU, mmeniokoa kifo!
Wana JF MMU,

Salaam sana, na baada ya salaam je hamjambo? Mie sijambo ila hofu na mashaka ni juu yenu mlio mbali na upeo wa macho yangu. Nikilala nawaota, nikinywa maji nawaona kwenye glasi.

Nawashukuru sana kwa michango yenu katika thread ya "Nishaurini nataka kula sumu". Ilikuwa ni thread ya utani lakini iliyotaka kuona umakini wa watu wa MMU. Mmedhihirisha umakini wenu. Nawashukuru tena.

Katika maisha usiseme "ni utani". Chukulia kila jambo linalotamkwa na mtu kwa umakini. Nchi yetu imefika ilipofika kwa sababu watu tuna"ignore". Mfano, watu hukosa kupiga kura kwa madai "KURA MOJA ITASAIDIA NINI? "HATA TUSIPOWACHAGUA WATASHINDA TU".

Watu wasio makini wangekosa kuchangia na kusema "ACHA TUONE KAMA KWELI ATAKULA SUMU SAA 6.02". Ningejiua wangesema "KUMBE ALIKUWA HATANII, MASKINI, AFADHALI NINGECHANGIA". Ningechangia ingekuwa too late kwa marehemu, kama ilivyo kwa kiongozi aliyechaguliwa na watu wachache.

MUNGU AAWABARIKI.

CashJ.​
 
Msipochangia mada hii, leo mchana, majira ya saa 6.02 nitakula sumu. Mpaka mtu alalamike ndio mchangie? Acheni hizo MMU!

Lakini kwa nini nijiue? I will get TZS 100,000 na kwenda nazo baa, namwaga kinywaji cha nguvu, naleta mada, lazima watu watachangia. Walevi wanamsapoti anayezungusha raundi hata kama pumba.

Sijiui, hata msipochangia; dawa ndiyo hiyo.

Rest in peace.kwasab sa 6:02 ishapita na mi ndo kwanza naiona hii mada yko.
 
Back
Top Bottom