Recent content by kirundi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu shule za Serikali zinazofundisha CBN

    Benjamin William mkapa DSM
  2. K

    JamiiForums Tanzania Marriage for revenge

    Wewe ndiye mwenye makosa walipataje number ya shem wao?kwenye mahusiano hatufanyi mambo kwa kufuata yale unayoyasikia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Marriage for revenge

    Yaan we hao rafiki zako ndo unawaamini sana?hujawahi sikia rarfiki kavunja ndoa ya mwenzie? huyo mume asingetaka kukuoa hata ungefanya nini asingekuoa.kama kuna vitu vilikukera ongea naye ajue na atakuomba msamaha na maisha yataendelea nawe umekiri unampenda ,,unawezaje kuwaza kumuumiza mtu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wife Anazingua

    Sio madudu jaman.Mungu amewapa wanawake macho ya kuona vitu ambavyo wewe kama mume huwezi kuona kwa haraka.huwenda kuna vitu ameviona.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wife Anazingua

    Ni kweli kabisa mambo ya housegirl liwe ni jukumu la mkeo jitahidi ukae mbali nao hata wakitaka chochote waambie wamfuate mkeo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Ndg watoto mara nyingi hubaki na walezi(house girls au ndg zetu)mambo ya watoto kuanguka mara nyingi hutokea mzazi akiwa kazini.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Kama nilivyosema mi si mtaalam lakini kwa ufaham mdogo nilionao nilibase zaidi kwa porcelain.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Yawezekana hilo unalosema lakini vipi unamuogesha mtoto wa miaka miwili au tatu anayetaka kucheza?wakati mwingine mtoto anakimbia akiwa na mapovu ya sabuni hapo je sox itasaidia?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Yawezekana hilo unalosema Lakini ni ngumu kuzuia majimaji nyumbani labda aina hizo zitumike zaidi maofisini lakini si nyumbani.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    faiza mydear bora mkubwa watoto maranyingi wanaangukia vichwa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Karibu hilo ndo lengo langu kuu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Hivi vitu ni hatari sana ni vile tu kila mtu anataka kwenda na wakati.ni bora ujipange kwa muda mrefu ili upate pesa ya kununua tiles nzuri.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Kaka hakuna siasa hapa. mi nimetoa tu mtizamo wangu.kama bei ni ghali bora tujenge tu kama zamani ili watoto wakue kwa amani.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

    Heri ya mwaka mpya wanajf wenzangu!! Mimi si mtaalam wa hili lakini ktk pitapita yangu kwenye building site mbalimbali nimeona watu wanachagua tiles ambazo ni hatari kwa watakaoishi humo hasa watoto! kuna site ilinishangaza hata mafundi wanateleza sasa watoto watakaoishi humo itakuwaje? Si...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    kaka kwa sasa hatuna uwezo wa kufanya hivyo lakini nashukuru kwa kupata mwangaza kwamba ni ugonjwa na unatibika.home huwa hatumuelewi kwa hivyo ameachwa tu afanye atakalo na amekosa aman na amekuwa adui wa kila mtu maana anajihisi hakubaliki.
Back
Top Bottom