Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

Yawezekana hilo unalosema lakini vipi unamuogesha mtoto wa miaka miwili au tatu anayetaka kucheza?wakati mwingine mtoto anakimbia akiwa na mapovu ya sabuni hapo je sox itasaidia?
Mtoto unamuogeshea sitting room?????!!!!
Bafuni si ziko non polished with a rough surface maalum kwa ajili hiyo???!!!
Sasa kama anakimbia na mapovu ya sabuni na we unamuangalia tu si utakuwa na lengo zaid ya kumuogesha labda bima imeiva n.k !!!!!!!

Akianza kukimbia na unajua madhara atoke bafuni huyoooo corridor mpaka akianguka na wewe uwe na kadi ya insurance na gari iko silence kabisaa maana umepanga!!!!!!!!

Jamani unapoamua kujenga nyumba ya aina fulani ni kuwa umechagua na life style hapo!!!!!
 
Ya nakubaliana kweli kwani kuna sehemu nyingine kama wakipiga deki tu asubuhi wanaweka karatasi kabisa kuwa hapajakauta tembea taratibu.so kwa kweli ni kuwa makini sana na haya mambo
 
Mtoto unamuogeshea sitting room?????!!!!
Bafuni si ziko non polished with a rough surface maalum kwa ajili hiyo???!!!
Sasa kama anakimbia na mapovu ya sabuni na we unamuangalia tu si utakuwa na lengo zaid ya kumuogesha labda bima imeiva n.k !!!!!!!

Akianza kukimbia na unajua madhara atoke bafuni huyoooo corridor mpaka akianguka na wewe uwe na kadi ya insurance na gari iko silence kabisaa maana umepanga!!!!!!!!

Jamani unapoamua kujenga nyumba ya aina fulani ni kuwa umechagua na life style hapo!!!!!
Ndg watoto mara nyingi hubaki na walezi(house girls au ndg zetu)mambo ya watoto kuanguka mara nyingi hutokea mzazi akiwa kazini.
 
Ulimaanishaje hapo mkuu!!!????

Kuwa polished ni cheap kuliko unpolished au???!!!

Kuchagua Tiles zenye quality mbovu kwakuwa ni bei rahisi bila kutoangalia hathari zake kama kudondokea kichwa ambao kunaweza kusababisha brain concussion!!
 
Si kwa watoto tu bali hata wakubwa wanaweza kuanguka vibaya na hata kupoteza maisha. Tunaomba wataalamu watuambie ni zipi nzuri kwa sakafu. Happy new year
 
Tanzania bado sana,mi engineer yetu kazi zao mbovu, njaa kali, kila mmoja rushwa kaweka mbele. Kanuni zinapindwa kwa kitu kidogo. Hata fundamentals za kazi zao ni vigumu kuzifata kwa kuwa wamejazwa ujinga kuwa fedha ndio furaha ya maisha, hawajui kuwa fedha ndio karaha yenyewe ya maisha , sana sana wanaenda kununulia mipombe bar na kujinunulia UKIMWI kwa hiyo mipesa ya rushwa wanazokula. Yote ni laana hiyo, unafikiri mtoto mdogo akiumia na engineer hajafanya lolote kuhusu hilo tatizo laana ni ya nani?

Faiza leo umesema neno linalofanana na ukweli mpaka nashangaa ile mentality yako ya kukataa ukweli umemwazima nani? Mm si mnazi wa siasa zenu za vyama, napenda watu wanapokiri kuwa tuna gaps nying mno ktk uongoz wa nchi yetu. Ama ndo new year 2014?
icon4.png
icon4.png
 
Back
Top Bottom