Uchaguzi mbaya wa tiles ni hatari kwa watoto wetu.

kirundi

Member
May 28, 2011
30
95
Heri ya mwaka mpya wanajf wenzangu!!
Mimi si mtaalam wa hili lakini ktk pitapita yangu kwenye building site mbalimbali nimeona watu wanachagua tiles ambazo ni hatari kwa watakaoishi humo hasa watoto!
kuna site ilinishangaza hata mafundi wanateleza sasa watoto watakaoishi humo itakuwaje?
Si vizuri watoto kuanguka anguka lakini ni hatari zaidi wanapoangukia kwenye tiles.
Mpaka sasa nimeshuhudia watoto wawili mmoja alipata tatizo la kuzimia mara kwa mara tunashukuru amepona lkn huyu mwengine ameanguka mara nne mpaka Dr.ameshauri Wahame.

Ushauri.
tunapofikia hatua ya kuweka tiles tuwashirikishe wataalam ili tuweke tiles sahihi kwa ustawi wa watoto wetu.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,024
1,500
Habari mchanganyiko, sina hakika na siasa.

Ila kweli, tatizo visivyoteleza bei aghali.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,226
2,000
Mkuu umeongea ukweli watu wanachagua tiles za bei rahisi hawajui kwamba cheap is expensive!!!
 
kirundi

Member
May 28, 2011
30
95
Habari mchanganyiko, sina hakika na siasa.

Ila kweli, tatizo visivyoteleza bei aghali.

Kaka hakuna siasa hapa.
mi nimetoa tu mtizamo wangu.kama bei ni ghali bora tujenge tu kama zamani ili watoto wakue kwa amani.
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Heri ya mwaka mpya wanajf wenzangu!!
Mimi si mtaalam wa hili lakini ktk pitapita yangu kwenye building site mbalimbali nimeona watu wanachagua tiles ambazo ni hatari kwa watakaoishi humo hasa watoto!
kuna site ilinishangaza hata mafundi wanateleza sasa watoto watakaoishi humo itakuwaje?
Si vizuri watoto kuanguka anguka lakini ni hatari zaidi wanapoangukia kwenye tiles.
Mpaka sasa nimeshuhudia watoto wawili mmoja alipata tatizo la kuzimia mara kwa mara tunashukuru amepona lkn huyu mwengine ameanguka mara nne mpaka Dr.ameshauri Wahame.

Ushauri.
tunapofikia hatua ya kuweka tiles tuwashirikishe wataalam ili tuweke tiles sahihi kwa ustawi wa watoto wetu.

Mkuu dah! Yani huwezi amini miaka miwili iliyopota tulipata pigo kwenye familia yetu mke wa broo alivunjika mguu mpaka mfupa ukatoka nje kwa ajili tiles za kichina noma sana na ni hatari hii kitu tuwe makini sana tunapo nunua.
 
kirundi

Member
May 28, 2011
30
95
Mkuu dah! Yani huwezi amini miaka miwili iliyopota tulipata pigo kwenye familia yetu mke wa broo alivunjika mguu mpaka mfupa ukatoka nje kwa ajili tiles za kichina noma sana na ni hatari hii kitu tuwe makini sana tunapo nunua.
Hivi vitu ni hatari sana ni vile tu kila mtu anataka kwenda na wakati.ni bora ujipange kwa muda mrefu ili upate pesa ya kununua tiles nzuri.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,160
1,250
Kwa watoto zipo sox chini zina vimipira saafi kwa ajili hiyo ya kuzuia kuteleza na pia polished tile haitaki vumbi wala maji maji itakutia kilema uichukie within no time!!!!!!!

Sehemu nyingine zimebatizwa "mind your step"!!!!!

Yawezekana ni matatizo ya mtumiaji zaid kuliko material!!!!
 
Yawezekana hilo unalosema
Lakini ni ngumu kuzuia majimaji nyumbani labda aina hizo zitumike zaidi maofisini lakini si nyumbani.
 
kirundi

Member
May 28, 2011
30
95
Kwa watoto zipo sox chini zina vimipira saafi kwa ajili hiyo ya kuzuia kuteleza na pia polished tile haitaki vumbi wala maji maji itakutia kilema uichukie within no time!!!!!!!

Sehemu nyingine zimebatizwa "mind your step"!!!!!

Yawezekana ni matatizo ya mtumiaji zaid kuliko material!!!!
Yawezekana hilo unalosema lakini vipi unamuogesha mtoto wa miaka miwili au tatu anayetaka kucheza?wakati mwingine mtoto anakimbia akiwa na mapovu ya sabuni hapo je sox itasaidia?
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,278
2,000
faiza mydear bora mkubwa watoto maranyingi wanaangukia vichwa.

Nakubaliana na wewe wala sijapinga hilo ila nnachosema mimi ni hatari kwa sote. Wadogo kwa wakubwa. Nchi zingine zenye SHE standards nyumba kama hiyo haipitishwi kwa matumizi mpaka vigezo vya safety kwa watumiaji vikamilike.

Tanzania bado sana,mi engineer yetu kazi zao mbovu, njaa kali, kila mmoja rushwa kaweka mbele. Kanuni zinapindwa kwa kitu kidogo. Hata fundamentals za kazi zao ni vigumu kuzifata kwa kuwa wamejazwa ujinga kuwa fedha ndio furaha ya maisha, hawajui kuwa fedha ndio karaha yenyewe ya maisha , sana sana wanaenda kununulia mipombe bar na kujinunulia UKIMWI kwa hiyo mipesa ya rushwa wanazokula. Yote ni laana hiyo, unafikiri mtoto mdogo akiumia na engineer hajafanya lolote kuhusu hilo tatizo laana ni ya nani?

Kama hatujaweka sheria za kuuwa wala na wapokea rushwa na kanuni za kuwawajibisha kila wanaokiuka fundamentals na standards za kazi zao basi tuna miaka 500 ya kuwafikia wenzetu wa dunia ya kwanza, ambako kila kitu kinaenda kama clockwork. Changa moto zao sasa hivi ni zingine kabisa na tofauti na zetu.

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom