Recent content by kirue

  1. K

    Kwa Mara ya kwanza nimesikia jina la Daud na cheti vikitajwa Clouds FM

    Watu hawewezi kuja na hoja nyepesi kiasi hiki.... bandle 1mb iuzwe hata laki moja.Watu wanapoteza muda mwing kwa hoja nyepesi...!Issue ya msingi tunashindwz kujua tofauti ya hoja na ushabiki
  2. K

    Wizara ya Ardhi yatangaza kupiga mnada viwanja visivyolipiwa kodi, imo hoteli ya Mange Kimambi

    Nimesoma comment zate pamoja na uzi wote;Nilichogundua wa Tz wengi wana uelewa mdogo sana tena sana..Hawajui mkusanyaji kodi ya ardhi ni nani....wengi humu nadhan pia hawamiliki ardhi maana ni hela ndogo ya kodi ya ardhi kwa mwaka siyo hela ya kishindwa kulipa kama ukilipa kila mwaka.. ...
  3. K

    Ushauri: Nimegundua mdogo wangu kabisa na dada wa kazi wanasagana. Je, nifanye nini?

    Mimi ningemwondosha kila mmoja....!aende kwao ndo niwaze cha kufanys jui ya watoto..kisa cha kukuharibia watoto ni nin..mimi sielewi ujue...yaan
  4. K

    Biashara ya boda boda

    Mkuu ushauri wako ni mzuri..mimi nimeanza na moja mwezi huu na kila mwezi nitaongeza nataka nione..Sijawahi fanyabiashara hata ya nyanya ila nimeanza na bodaboda moja mpya.Nimempa kijana namuamin tu,ni ya mkatabawa mwaka mmoja.Tumekubaliana mahali pa kwendakufanya service kila week .
  5. K

    Nimeshangaa kukuta Benki ni kweupe

    Siku ukivuna mboga mboga na vitunguu vimejaa sokoni...kama zilivo nyanya
  6. K

    Kuishi na mwanamke yahitaji uvumilivu sana

    Mimi kitu cha kwanza ni furaha na amani ya nafsi yangu ndo naingalia...mengine hayafata lakini kitu kinakotaka kuniondolea furaha yangu sikupi nafasi hata kidogo!!!!!!!!!!!!!..
  7. K

    Mpenzi wangu anataka tufanye kinyume na maumbile

    Maisha yako ili yakamilike ni kuhakikisha una furaha muda wote!Hakikisha hukaribishi huzuni hasa ile inayosababishwa na watu....!Hakikisha kila unachokifanya unakuwa na furaha !Huyo dada mwambie aende na usimrudie maana kesha fumuliwa marinda tayari!Achana naye kabisaaaa!
  8. K

    Mrejesho: Kaniacha ghafla, nimechoka na mahusiano nimeamua kuwa single

    We nenda kamsalimie tu...Ubinadamu..kesha enda huko wa memtenda..we kamsalimie tu endelea na shughuli zako......!
  9. K

    Kanitafutia kazi sasa nimekuwa mtumwa wa ngono

    Kweli...I will marry when I want....Ntakuwa single for a while!
  10. K

    Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

    Pole sana...Ila kama.mn watoto kaaa kwa ajili ya wanao...!Hakikisha hukagui simu yake...wewe focus kuongeza kipato na kuwekeza kivyako....!
  11. K

    Mke wa mwanajeshi mstaafu Amenizimia

    Kijana una hatari...Huyu mjeshi na ulivojielezea yaan akikuta hii thread lazima akujue....mimi nshakujua kabisaaa!Its too risk kutoa details zako/mtu ...
  12. K

    Kaniambukiza gono, mimi nimemwambukiza VVU

    Iv kweli kuna gono unaambukizwa siku iyo iyo na kuugua siku iyo iyo...toa maelezo vizuri....!Au ulikuwa nayo sema muda wa kupata dalili ulikuwa bado??
  13. K

    Mke wangu anataka kurudi kwao

    Pumzi sinaaa........!Iv sasa kweli nimeamin shetan yuko beach anapunga upepo binadamu tome mu over take kwa maovu
Back
Top Bottom