Wewe huna lengo la kuanzisha machafuko lakini wenzako ambao tunapiga counter attack(mlo mmoja kwa siku) tunaelekea huko tunasubiri ushauri mmoja tu kutoka CDM tuingie mtaani.Ama zetu ama zao
****** anapopeleka mahindi somalia wakati Yaeda chini kule kwa wale jamaa zetu wanaishi kwa kuwinda na kurina asli wakifa na Njaa. Pia serikali yetu inatoa misaada mingi sana kwa "wananchi wake" Mfano: Rostam Azizi siku chache zijazo atalipwa bilioni 111 na Sirikali yetu.
Wadau! hizi ni habari za kweli na za uhakika. Aliyekuwa Meneja Utawala wa BOT Bw. Amatusi Lyumba anakusudia kuingia kwenye siasa! Lengo lake ni kujiunga na Vyama vya TLP au NCCR Maegeuzi. Habari zaidi zilizotokana na rafiki yake wa Karibu zinasema kuwa alikuwa anafikiria sana kujiunga na CDM...
Kwa mujibu wa Taarifa nilizopata asubuhi hii za uhakika zinasema kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala wa BOT Amatusi Liyumba anampango wa kuingia kwenye siasa.
Kwa mujibu wa Source ambaye ni rafiki wa Karibu wa Liyumba anasema kuwa Bwana mkubwa huyu ambaye ametokea jela siku za hivi...
zimepatikana wakati huyu afisa mtendaji akipiga maji sehemu fulani hivi. Unajua toloha hamna umeme sasa alipanda town kuja kuchapisha ndo akajisahau kwa mtindo huo. By the way nitaifuatilia ambayo tayari itakuwa imeasiniwa na mhuri kwani nina pr. nzuri na watu fulani pale masjala ya...
Salaam Sana Wadau wa Jf, Najikaribisha JF kwa uzi huu.
Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya Kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi...
Salaam Sana Wadau wa Jf.
Najikaribisha JF kwa uzi huu.
Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.