Tufahamishane kuhusu haya

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Ndg.wanajamvi mimi na wengine 2napenda kujua,hivi ni nchi ngapi au zipo?ambazo zinatoa huduma kwa wananchi kama alivyokuwa Gaddafi na walibya.Make watz wengi sasa point yao juu ya Libya ni kuhusu huduma alizokuwa anawapa Gaddafi.Kama zilikuwa huduma za lazima 2juwe nasi wazawa 2ziombe........NAWAKILISHA
 
Watu si huwa wanakurupuka tu kwa kufuata wanayoyasikia? Subiri uone kama kuna mtu atakuja na orodha kamili na mahususi ya hizo huduma. Lakini hata hivyo kama nchi ina malighafi na utajiri wa kuhudumia raia wake nini cha ajabu hapo au ilitakiwa Gaddafi atoe huduma hizo kwa mataifa mengine?
 
Mkuu nenda Brunei ukashangae. ELIMU MATIBABU BURE. Yaani everything ni bure. Wao hawafanyikazi wanaleta europeans wafanye kazi
 
Elimu bure mpaka level ya university, hata kama unasoma abroad
Huduma za afya bure, hata kama unatibiwa abroad
Bei ya Mafuta average 0.5 US Dollars per litre.
Makazi, walibya wote wanamalazi ya uhakika, kama hauna uwezo unapewa makazi bure
kama hauna kazi unalipwa

come on. kaeni hapa na hiyo demcrasia yenu basi, mtasaikia maisha bora kwa kila mtanzania
mpaka migongo itawapinda kwa uzee
 
****** anapopeleka mahindi somalia wakati Yaeda chini kule kwa wale jamaa zetu wanaishi kwa kuwinda na kurina asli wakifa na Njaa. Pia serikali yetu inatoa misaada mingi sana kwa "wananchi wake" Mfano: Rostam Azizi siku chache zijazo atalipwa bilioni 111 na Sirikali yetu.
 
Back
Top Bottom