Recent content by Kiraucha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Ngazi ya certificate vp? Naombeni link
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini TRA

    Wameshaitwa wote jameni!!!! Au ndo nimechinjiwa baharini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Masomo kwa wanaotarajia kufanya mitihani ya NBAA Module E & F May 2014

    Tangazo lilikua la cku nyingi.... Now nipo mwanza nafundishia huku. Allen endelea kujiuliza wenzio wanachukua cpa zao kila kukicha
  4. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo same k/njaro bas mi nije misungwi. Kama uko tayari plz tuwasiliane
  5. K

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi na mwalim wa Secondary Natafta wa kubadilishana nae aje SAME Kilimanjaro niende ILEMELA au NYAMAGANA Mwanza. Tuwasiliane 0784 327 685
  6. K

    JamiiForums Tanzania Masomo kwa wanaotarajia kufanya mitihani ya NBAA Module E & F May 2014

    Tunafundisha masomo ya CPA module E na F hasa kwa wale walio busy makazini hivyo kukosa muda wa kuhudhuria review classes kila siku. tuwasiliane tupange mda wa kukutana na kukufundisha. pia kwa wale walio na mda na wanaattend review ila wanahitaji kusoma baadhi ya topics tunawakaribisha pia...
  7. K

    JamiiForums Tanzania TRA: Wengi watatoka MUCCOBS

    Naskia kitilya kastaafu, lina ukweli wadau?
  8. K

    JamiiForums Tanzania TRA Assistant Accountant

    Nijuzeni wadau naskia kitilya alishastaafu eti. Kuna ukweli?
  9. K

    JamiiForums Tanzania TRA waanza kuita: Ass/Accountant post

    tehe tehe. Mi mwenyewe naisubr kwa ham ila hawajapga
  10. K

    JamiiForums Tanzania Walioapply ARDHI PLAN LTD

    Wadau naomba kuuliza walioapply kazi zilizotanganzwa ardhi plan ltd mwezi wa 6 wameshaitwa kwenye interview?? Mwenyekujua plz aniambie
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Wanaokwenda ualimu

    majina yameekwa wapi wakuu?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Deo Filikunjombi (mb) Ludewa

    Hata kama ma DC wapo na wenye mitandao wapo, i5 mbunge ni wajb wake kuwasemea wananchi na kuwashawishi wenye mitandao kuwa kuna watumiaji wa cm wakutosha ili washawishke kujenga. Mbunge alione hili
  13. K

    JamiiForums Tanzania Felix Mkosamali (Case study)

    Salute kwake
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar Wamshangaa Warioba kwa kupendekeza serikali tatu!

    Pigeni kazi yakhee! Hamtalelewa tena na wabara. C mlianza chokochoko nyie! Mtageuka soko le2.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wilfred Muganyizi Rwakatare ''Engaju" anasubiriwa kwa hamu Bukoba!

    Naomba chama kimpangie ratiba ya ziara mikoani shujaa wetu watanzania wanaham sana ya kumuona. Hii ni opportunity nyngne kwa CHADEMA. Lwakatare kuwekwa sero amefanya wanachama na mashabk wengi sana wa chadema na kawa maarufu tanzania nzima. Ana uwezo wa kugombea ubunge popote na kuchukua bila...
Back
Top Bottom