Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,702
na utakufa kweli achana na pombe....Peopleeeeeeeeeeeessssssssssssssssssss...................Paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Leo Nkonyagi itaniuaaaaaaaaa..............................

Habari za kuachiwa kwa dhamana Mkurungenzi wa ulinzi na usalama wa Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho mkoani Kagera Bw, W. M. Rwakatare maarufu hapa Bukoba kama "Egaju" zimeilipua Bukoba kwa furaha na sasa kila kona unayopita gumzo ni kuachiwa kwa mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Bukoba mjini.
Habari hizo zimezagaa ghafla kupitia mitandao ya kijamii na redio za hapa Kagera, isipokuwa redio ya Mh Kagasheki, redio Kasibante jina amabalo uhusishwa sana na mvutano wa kisiasa kati ya Kagasheki na Rwakatare. Jina la utani la Rwakatare "Engaju" linamaanisha ng'ombe mkubwa mwenye pembe ndefu maarufu sana mkoani Kagera wakitokea Uganda, na jina la redio "Kasibante" linamaanisha kumfunga ng'ombe.
Honi za magari zimepigwa na vjana wengi walilipuka kwa makelele baada ya kusikia habari hizo toka redio Vision iliyoko mjini Bukoba. Vijana wengi wamesikika wakisema "tunataka kuvunja rekodi yetu wenyewe ya mapokezi, maana Ccm hata akija nani hawezi vunja rekodi ya mapokezi ya Dr Slaa" aliongeza "tunataka kuuonyesha ulimwengu kuwa tulisikitishwa na kesi ya kipuuzi lakini iliyomtesa kamanda wetu, tutaisimamisha Bukoba siku hiyo" alisema kijana mmoja mwendesha pikipiki.
Mama mmoja mfanyakazi wa sharika la posta mkoani hapa amasema "hata bosi anajua kwamba siku ya kumpokea Rwakatare hawezi kuniona kazini, najua hawezi kunitakisha ubaya nitamuaga siku mmoja kabla" Amesema ndiyo haki imetendeka lakini wanataka kuonyesha ulimwengu kwamba watenda haki ni wengi. "Tunataka kumuonyesha huyo Mwigulu wao kwamba tunapenda haki na kuwa tunamsubiri kwa hamu siku akija hapa tutamzomea kwa kihaya"
Nitaendelea kuwajuza kinachoendelea hapa Bk.
Ashukuriwe Mungu muumba wa mbingu na nchi.
Shetani kaporomoka kuelekea kuzimu.
AmeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeenGambaz wanastahili adhabu kali sana kwa unyama waliomfanyia Rwakatare chini ya mhandisi wa tukio hilo Mwigulu, jina ambalo kwa kabil langu linamaanisha mtu anayeishi darini.
Kama si Mungu yule wa Israel mambo yasingeenda hv ilivyo.
Huku Arusha wana Apollo huwa wanasema "Mungu Hanywi Chai", wakimaanisha Mungu si binadamu!
Naamini kabisa huyu Rwakatare akija Arusha mji utasimama kwa masaa kadha ili kupisha tukio hilo na nguvu za polisi hazitamtisha mtu.
Namhofia sana Rwakatare kwa habari ya Afya, maana anaweza kufanyiwa kitu ya aina aina kama ile ya Mwakyembe aisee!
Bwana asipoulinda mji, waulindao wakesha bure, Mungu tuliyemtanguliza atamwangazia Nuru.
Peopleeeeeeeeeeeessssssssssssssssssss...................Paaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Leo Nkonyagi itaniuaaaaaaaaa..............................[Tusnangangane kitimoto kibeta bwaigoro enkonyage etwite]
lowasa alipokelewa jimboni kwake kwa nderemo na vifijo, yaani kama mwokozi flani hivi, CHENGE na mafisadi wengine walipokelewa kama wafalme majimbono kwao.. sioni ajabu hata GAIDI HILI LWAKATARE likipokelewa kishujaa huko kwao kwa akina NSHOMIRE.... ni hulka ya waTZ kushabikia hata mijitu inayonuka kashfa za mauaji na ufisadi. kwa watanzania! tumezalisha another SUPERSTAA aliyetokana na upangaji wa mauaji ya wanahabari... pathetic.......................Mungu yuko daima na watenda haki,ingekuwa Lwakatare amefanya kosa asinge achiwa maana mungu wetu hadhihakiwi,
SASA WAKUBWA MWIGULU NA GENGE LAKE LA UAJI CCM WATATOKEA WAPI?
POPOTE WATZ TULIPO TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA CCM NI KANSA INAYOMALIZA RASLIMALI ZETU.
KARIBU KAMANDA MPIGANAJI