GPA calculation involves a lot of things,GPA ya udsm huwezi kuilinganisha na ya Mzumbe au Muccobs,Mzumbe wanatumia Formula,B+ ya 69 ya Mzumbe ni sawa na A udsm au TAA due to difference in calculation of GPA,So it does not matter either you have gettleman or first class,first degree without a proffesional qualification is nothing,watakubeba beba tu,CPA,ACCA,CISA,CIA and other ndio habari ya mjini,hizo proffessional qualification hazina GPA,so tusiwe washamba wa kuanza kulinganisha vyuo wakati,walimu na qualification entry hutofautina,what matter is how you express your self,and how positive you are.Sasa unafikiri Mkiitwa kwenye Company Moja but we una viji-pass vyako vilivyotokana na Supp za kumwaga plus Minusuriko ya Disqualified kila mwaka baada ya kubebeleza sana Walimu na kuwahonga wengine, mwenzio ana mabanda, akifeli sana basi B+ mtalingana??
zile za tax officer watu walisema ivoivo..kuna watu wakapotezea..matokeo yake wakaajir watu 100Twendeni kitaeleweka huko huko!!!!!!!!!!! nasikia ni nafasi sita halafu wameita watu karibia elfu mbili ajira Tanzania imekuwa ishu.........
GPA calculation involves a lot of things,GPA ya udsm huwezi kuilinganisha na ya Mzumbe au Muccobs,Mzumbe wanatumia Formula,B+ ya 69 ya Mzumbe ni sawa na A udsm au TAA due to difference in calculation of GPA,So it does not matter either you have gettleman or first class,first degree without a proffesional qualification is nothing,watakubeba beba tu,CPA,ACCA,CISA,CIA and other ndio habari ya mjini,hizo proffessional qualification hazina GPA,so tusiwe washamba wa kuanza kulinganisha vyuo wakati,walimu na qualification entry hutofautina,what matter is how you express your self,and how positive you are.
Mimi nina GPA ya 3.1,CPA nimebakiza somo moja,nina CIA,na namalizia CISA soon with my GPA hiyo,ambayo wengine wataniona kilaza,O level div 1 point 9,A level div 1 pts 7,wacheeeeen dharau