Recent content by kiranjamkuukss

  1. kiranjamkuukss

    Vifaranga wa kienyeji wanapatikana kwa1200/= tu

    Tupia picha za hao kuku wa Shinyanga
  2. kiranjamkuukss

    Vifaranga wa kienyeji wanapatikana kwa1200/= tu

    Tupia picha za hao kuku wa Shinyanga
  3. kiranjamkuukss

    Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

    [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
  4. kiranjamkuukss

    Mapenzi ni sehemu ya upendo au?

    Tatizo vijana wengi wanawaza urafiki kati ya mwanamke na mwaume lazima uhusishe kusex. Haya mambo ni makubaliano kati ya wawili wapendanao. Kwa upande wangu naamini mnaweza kuwa marafiki/wachumba mkaamua tutosex na mkavumilia bila tatizo. Ushauri wangu kwako mchunguze kama anakupenda kweli...
  5. kiranjamkuukss

    Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Sawa mkuu, TAWA, tusilumbane, lengo liwe kueleweshana. Tukiendelea kujibizana hapa italeta tafsiri kama tunatambiana kuhusu ufahamu wetu juu ya watu wa Moro kusini na majukumu ya kila mmoja. Pia kwa kuwa hatufahamiani ni rahisi kila mtu akahisi ana ufahamu mpana kuliko mwenzake juu ya mambo...
  6. kiranjamkuukss

    Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Sipo Dar ndugu, na haya ninayoongea nayajua vizuri. Namfahamu vizuri huyo WEO ninayekwambia nenda kwake ukaulize personally achana na vikao vya WDC. Kila kikao kina ajenda zake huenda unayozungumzia hapa hayakuwa kwenye agenda za kikao unachosema cha juzi. Kwa kuwa unauliza kuhusu barabara na A...
  7. kiranjamkuukss

    Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Tawa nenda ofisi ya kata yako ya Kisemu Jtatu onana na WEO wako muulize mipango ya ujenzi wa barabara na ujenzi wa shule za A level kwa wilaya ulivyo kwa mwaka huu wa fedha. Usiwe unasema tu kwenye mitandao kiongozi, anzia kufuatilia kuanzia ulipo. Pia ukifika ofisi ya kata ulinza tangu MP...
  8. kiranjamkuukss

    Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Tawa, ebu niambie kwa mfano unataka afanye nini uone anafanya kazi zake vzr.
  9. kiranjamkuukss

    Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Jaji naongea jambo ninalolifahamu wala si kumtetea mtu. Pili sipo Dar kama unavyosema na nafuatilia kwa karibu jinsi anavyojitahidi kisaidia wananchi. Tatu mimi sio manaccm wala hata mfuasi kama unavyodhani.
  10. kiranjamkuukss

    Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Huyu mzee ni jembe la ukweli nyie acheni majungu. Hamjamjua tu vizuri. Fuatilieni kwa makini mpaka sasa amefanya mangapi mazuri kwa wananchi wake tena tangible things. Na ana mikakati mingi mizuri. Msiwe wepesi kulaumu kabla hamjapata ukweli wa mambo. Tatizo lenu mnataka aje akae nanyi...
  11. kiranjamkuukss

    Call ya house girl kwa mume wangu

    .......halafu unajiita "Mkebora" kazi kwl kwl
  12. kiranjamkuukss

    Kesho naenda Somalia kwa pikipiki

    Ukirudi tupe mrejesho
Back
Top Bottom