Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

Tawa nenda ofisi ya kata yako ya Kisemu Jtatu onana na WEO wako muulize mipango ya ujenzi wa barabara na ujenzi wa shule za A level kwa wilaya ulivyo kwa mwaka huu wa fedha.

Usiwe unasema tu kwenye mitandao kiongozi, anzia kufuatilia kuanzia ulipo.

Pia ukifika ofisi ya kata ulinza tangu MP ameingia madarakani amefanya mambo gani kwenye jimbo lake.

Ukishaenza njoo hapa tujadiane.

Nahisi hujui vizuri majukumu ya MP unadhani kuongea sana bungeni ndo uchapakazi.

Mbunge anashiriki vikao vingi vinavyofanya maamuzi ya mambo unayosema sio lazima akige kelele bungeni.

Sikia wewe, mimi ninaishi Nige hapa ndipo makazi yangu yalipo. Juzi jumatatu tulikuwa na kikao cha WDC mtamba pale hayo unayoyasema au ninayoyasema mimi ndiyo ambayo waanchi wanayahoji. Sasa kama huyo mtendaji alikuwa na mipango yoyote ya haya matatizo angejibu kwenye kikao cha WDC kilichofanyika juzi. Unajua hakuna kitu kinaudhi kama wewe uko kwenu Dar alafu unamtetea anayewakandamiza watu wa matombo kwanza nj ujjnga.
 
Sipo Dar ndugu, na haya ninayoongea nayajua vizuri. Namfahamu vizuri huyo WEO ninayekwambia nenda kwake ukaulize personally achana na vikao vya WDC. Kila kikao kina ajenda zake huenda unayozungumzia hapa hayakuwa kwenye agenda za kikao unachosema cha juzi.
Kwa kuwa unauliza kuhusu barabara na A level, nenda mwambie wilaya ina mpango gani kuhusu mambo hayo kwa mwaka 2016/17.

Fahamu pia kuwa MP afanyi kazi hizo mwenyewe, coz si kazi ya MP kutumikia wananchi kwa pesa za mfukoni mwako.
 
Nafikiri wewe umetumwa kuja kuharibu mada
Kwanza ulisema kazi ya MP si kupiga kelele tu mjengoni bali ni kutekeleza na kuingia katika vikao vya maamuzi. Si kweli, moja ya kazi ya MP ni kuwasemea wananchi wake katika matatizo yanayowakabili.
Hapa unatuambia mp hatoi pesa zake kutekeleza miradi. Hakuna aliyesema katika huu uzi kuwa mbunge hakujenga barabara bali anashindwa kutekeleza jukumu la kuwasemea wananchi na nikahoji kwani naye ni wa UKAWA labda ametoka nje.
Lakini, huyo unayemsema WEO kuwa unamfahamu inawezekana unafahamiana naye binafsi kitu ambacho si faida kwa watu wa morogoro kusini.
Mipango hiyo ipo mdogo wangu toka kipindi cha mwenegoha, akaja huyu mgiriki wenu karogeresi na sasa huyu mzee mipango ipo na mimi nilishiriki kuidraft kama mdau wa maendeleo ya wikaya hii. Usidanganyike na mipango ya kwenye mikaratasi bwana mdogo na wewe ukaridhiiiika.
 
Ndugu yangu kilanja mkuu kama una email nipe nikutumie mipango ya morogoro v toka mwaka 2000 mpaka hii leo. Nataka nikuoneshe kuwa wilaya ya morogoro vijijini ni wilaya ya kuombea pesa bro amka wewe nakuona ni kijana lakkni ni miongoni mwa watu ambao bado mmelala
 
Sawa mkuu, TAWA, tusilumbane, lengo liwe kueleweshana.

Tukiendelea kujibizana hapa italeta tafsiri kama tunatambiana kuhusu ufahamu wetu juu ya watu wa Moro kusini na majukumu ya kila mmoja.

Pia kwa kuwa hatufahamiani ni rahisi kila mtu akahisi ana ufahamu mpana kuliko mwenzake juu ya mambo haya.

Nitakutafuta siku moja tuonane na kuongea zaidi kuelimishana.
 
Sawa kilanjamkuu nimekuelewa nafikiri tutakuwa na muda mzuri wa kueleweshana kwa maslahi mapana ya sisi na wananchi kwa ujumla.
 
Salamu wana jamvi,

Habari inayochukua nafasi ya juu ndani ya bunge kwa sasa ni mgogoro uliopo kati ya wabunge wanaounda umoja wa UKAWA dhidi ya naibu spika wa bunge dr. Tulia Ackson, jambo linalopelekea wabunge hao kutoka nje kila bunge lioongozwa na naibu spika huyo

Tabu yangu kubwa ni kwa mbunge wangu. Mbunge aliyepewa ridhaa na wananchi wa jimbo la Morogoro kusini kuwawakilisha bungeni. Mbunge huyu amebeba agenda nyingi za sisi wananchi wake.

1. Tuna matatizo ya barabara inayounganisha wilaya ya morogoro vijijini na manispaa ya morogoro. Barabara hii ni ya vumbi yoka mkoloni mpaka ninapoandika habari hii.

2. Huduma za elimu ni duni sana katika jimbo hili. Hakuna hata shule moja ya sekondari ya juu(advance level).

3. Wanayoiita hospital ya wilaya katika jimbo hili ni sawa na kituo cha afya cha tandale kwa mtogole pale wilaya ya kinondoni.

Kinachonishangaza pamoja na changamoto zote hizi, mbunge wetu hayupo bungeni au labda yupo lakini domo limejaa mate, domo zege . Lakini mbunge wetu sisi ni wa chama cha mapinduzi ccm. Kwa hiyo ninamini yumo bungeni lakini ama kwa makusudi au kwa sababu yeye binafsi anazozijua ameamua kukaa kimya.

Mzee kama umeshindwa basi tupishe tutakuja wananchi wote maana naona huwezi Kuku akilisha.

Uvumilivu sasa basi.

POLE, Katiba yetu hairuhusu mbunge kutolewa ubunge na wananchi. Sana sana OMBEA Katiba MPYA YA Mzee Warioba ambayo ilipendekeza kuwa kama Mbunge hawajibiki vizuri, wananchi wanaweza kupiga kura ya kumtoa ubunge. Lakini wabunge haohao wa chama hichohicho waliikataa kwasababu wanajua jinsin wasivyo wajibika kwa wananchi. Kwahiyo KATIBA Ya Waripoba Ikapigwa chini, Maana mlifurahi sana kwa kukataliwa na wabunge wenu wa kijani.
 
Ila tatizo jimbo hili vibibi na vibabu bado vingi mno
 
Waelimishe kuhusu mambo ambayo ni mazuri yaingizwe kwenye katiba mpaya sio yale yanayo walinda viongozi.

Vibibi huwa vinaelewa ndugu? "Chama cha nyerere"
 
Back
Top Bottom