Wajinga hawa wanajifanya hawajui kuandika vizuri kigezo kwamba waganga wengi walikimbia shule! Mimi nawapenda kuwainjoyi tu. Cha kufanya unamtumia ujumbe kuwa tayari umeshatuma fedha.
"angalia tayari nimekutumia 800,000/= jitahidi unirekebishie dawa haraka! Uone.
Hizi katiba nazo bana ni changamoto! Katiba ya Burundi inamruhusu petero nkurunziza kugombea tena inasema "RAIS ATAKAYECHAGULIWA NA WANANCHI ATAONGOZA KWA VIPINDI VISIVYOZIDI VIWILI. Awamu ya kwanza hakuchaguliwa na wananchi.
NCHI ZETU ZA AFRIKA KARIBU NYINGI ZINA MATATIZO YA KIKATIBA (hata na...
Nani kasha wahi kuambiwa aliye bikiri mkewe?
Nakushauri usije ukamweleza hata siku moja.
Jitahidi uwe mwaminifu kiasi kwamba hata akisikia atajua wanakufananisha tu.
Bwana akutie nguvu usirudi nyuma. Amina
Juni mwaka huu imeshafika?
Lakini jamani wasukuma mmezidi; mara nyingi sehemu za usukumani kama Geita, Mwanza na Kahama nimefika. Cha ajabu ninapojitambulisha mimi ni MUHA natoka Kigoma watu wengi hunifuata wakitaka niwapeleke kigoma kwa waganga.
Sisi wenyewe WAHA hata kama wapo waganga huko...
Sera zake dhaifu tu! Hii afrika yetu MUNGU ainusuru tu maana viongozi wetu karibu wote ni wachumia tumbo tu! Yeye mpango ni wa kubadili katiba ili aruhusiwe kugombea tena urais. Kwani udongo huo na wa Kasulu, Kibondo na Kakonko kuna tofauti gani? Wilaya tajwa hapo juu za mkoa wa kigoma serikali...
Duu! Humu yamo mengi kweli mimi wa kwangu ana miaka miwili sasa lakini yeye akiudhika hasa kwa kucheleweshewa huduma mfano chakula, kufokewa (kukaripiwa) anapokosea, n.k yeye anajitupa chini haijalishi ni wapi na kuna hali gani mfano amewahi jitupa chini sehemu yenye mawe na aliumia sana. Juzi...
mtoto huyu handsome! Nimempenda sana kama wazazi wake wasipopatikana NAMWOMBA nimlee; ana sura ya kufanikiwa (ANAFAA KUWA MUSSA WETU WA WAKATI UJAO - RAIS). Kama kuna mtu mwenye namba na watu wa pale alipo mtoto anisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.