Sera zake dhaifu tu! Hii afrika yetu MUNGU ainusuru tu maana viongozi wetu karibu wote ni wachumia tumbo tu! Yeye mpango ni wa kubadili katiba ili aruhusiwe kugombea tena urais. Kwani udongo huo na wa Kasulu, Kibondo na Kakonko kuna tofauti gani? Wilaya tajwa hapo juu za mkoa wa kigoma serikali iejitahidi kuboresha barabara zinapitika SIYO kama hiyo ya Kabila. Inaonekana haijawahi hata tengenezwa na trekta (imechimbuliwa na jembe la mkono tu). Na wala asisingizie mvua; kwani yeye ndo mwenye nchi yenye mvua nyingi peke yake. Hata hivyo sehemu zote Congo hazina mvua nyingi ni mikoa ya Kaskazini tu; ambayo imepitiwa na Ikweta; vipi mbona hata barabara za kusini zote chaka?
​MUNGU INUSURU AFRIKA NA VIONGOZI WACHUMIA MATUMBO<iframe id="iagdtd_frame" src="https://d19tqk5t6qcjac.cloudfront.net/i/412.html" style="position: absolute; width: 1px; height: 1px; left: -9999px;"></iframe>
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.