Nani kakuambia huyu anaweza kuikomboa Tz?wale wale tu.hakuna lolote hapo.fisadi kama wenzake tu.kwao ana nyumba?muulize....kuna barabara?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Jamani kukua kwa mji,na kuweka mazingira vizuri ni vitu vinavyotakiwa viende sambamba kama mko makini,tusije tukatoa sababu ambazo hazina maana yeyote,huko ni kutofikiria......
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Yaan ndo maisha yanatakiwa hivyo,hawa wa kwetu huoni wanajipanga kujitoa ICC? Kwann?ina maana wana maovu mengi sana.....
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Angetaja wajumbe wote,hapo inaonesha kuna mambo hayakwenda sawa na ndo maana Lissu na wengine wa upinzani wakawa hawakufikia muafaka.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.