Wachagga hii ni kweli?

Wachagga hii ni kweli?

Status
Not open for further replies.
ongezea na maandamano kwenye mikoa ya watu hiyo pia ni sifa yao nyingine
 
Nchi ya Tz bila wachaga hakuna kitu kitaendelea.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
khaaaaaaaaaaaaaaa
Kweli Small Minds discuss..............

Kwani humu jamii forum tunawadiscuss wanyama?? Nyie ndo small minds,kama maada unaona mbovu we pita tu kuliko kuaribu hali ya hew

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani humu jamii forum tunawadiscuss wanyama?? Nyie ndo small minds,kama maada unaona mbovu we pita tu kuliko kuaribu hali ya hew

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Usikonde.
 
Wachaga wapemba ni wajanja kuliko makabila yote tz
 
Tatizo la dini nalo litatatuliwaje? watuwasio waislam nao waachie ngazi zote za uongozi ili kuwapisha waislam?
 
Air Tanzania iliuliwa kwa makusudi na Wachagga ili Waipaishe Precision ilioingia mkenge na Kenya Airways baadae na kumezwa! Mungu si asumani
 
kwi kwiiiiiii nimechekajee!

mtuwache tupumuee..

Sisi ni watafutaji na si wezi.
 
Ndugu arch! Hoja yako upande fulani ina mantiki.lakini kwenye kusema wachaga waachie ngazi uongozi mbalimbali si sahihi. 1.kwanza nawapa hongera kwa maadili yao ya maisha na uchapaji wa kazi.uvivu kwao mwiko na jamii iko tayari kukutenga! 2.lazima wakubali lawama zinazo waangukia kwani nyingi za kweli hivyo wajitahidi kubadilika.3.wakati makabila mengi tanzania(hasa sisi wanyamwezi na wasukuma)tulikua hatutaki kuendeleza kwetu na tulikua hatuna umoja ugenini wao kwao walipajali.big up wachaga nimeishi moshi hadi vijijini kuhusu wachaga sijasimuliwa!

Ni kweli ni wachapakazi!!!! Huwezi kuta mchagga kijiweni anacheza bao na busha limening'inia eti ajiite muungwana!!
Hata Mimi nimeishi uchagani nimejifunza, nimebadilika na hata wakwetu pwanipwani nawasihi wabadilike!!!!
 
Eh! Nilidhani ni hadithi tu kumbe kweli yaani mpaka mitandao inajua loh its a global issue
 
haya bhana....
Hivi yale ya udini yameisha eee!
mdogo mdogo tutafika mnapopataka...BTW history is the best teacher!
 
Mtahangaika saaana kuhusu wachaga na mtabakia hivyohivyo na majungu yenu..Ngoja nikatembelee miradi mie...
 
Ukizaliwa uchagani una diploma ya biashara!! Ukikulia uchagani una degree ya biashara!!! Chagga for life...nyie endeleeni kupiga domo tu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom