Recent content by KIPUMPUSWA

  1. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League, Special Thread

    angalia vituo vyote vya luninga vitakavyo rusha game hii uone wachambuzi watakuwa wanamzungumzia nani. hapo ndo utajua nepi utashika wewe. hivi sasa nasikiliza dw radio kipindi cha michezo anazungumzwa megician
  2. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions League, Special Thread

    hii game ni kati ya mtu mmoja (messi) vs eleven players (buyern). huyu jamaa awapo uwanjani ni tatizo kwa timu pinzan. wachambuzi wa soka wengi wanasema uwepo wake uwanjani hushusha morali kwa timu pinzania. rejea mechi yao na PSG ya marudiano baada ya huyu jamaa kuingia.
  3. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Tabora: Maandalizi yakolea kupokea M4C kuanzia Ijumaa hii

    CCM ni kama gogo linalopekechwa ndani kwa ndani.siku mchwa m4c watakapojitokeza mtajuta. jifunzeni kwa diallo na masha. hata wao walukuwa wanatoa idadi ya madiwani na wabunge kabla ya uchaguzi 2010. leo ccm jiji la mwanza ni historia. diwani kung'ang'ania takwimu ushapotea njia. barabara ndio...
  4. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wa Baba!!

    mbuzi wamepakwatwa nauli hawalipi unyanyasaji?
  5. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Picha: Mabaki ya Ndege iliyomuua Bob Sambeke.

    Dugu sambeke ndio nani?
  6. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Wakacha sherehe ya kuapishwa kenyata

    Zuma yupo Nairobi.
  7. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Wakacha sherehe ya kuapishwa kenyata

  8. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Wakacha sherehe ya kuapishwa kenyata

    bata kwa sana south.
  9. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Hivi wewe ungekuwa ndugu wa mume wa mwanamke huyu ungejisikiaje

    Mumewe anaendelea kutumikia kifungo, yeye kalipiwa faini anafanya sherehe.
  10. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Msanii mtuhumiwa anapozuru kaburi la msanii

    hii imeekaje wandugu. mama na mtoto kama mzaha flani.
  11. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dobald Cameron akosa kiti kwenye treni

    Sio ulaya tu hata hapa afrika inawezekana. Jk na Mama Salma Kikwete wakitaka wimbi kuelekea kigamomboni kumjulia hali aliyepata kuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe.
  12. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mh. Membe mgogoro wa mpaka Malawi

    mi ntahamia mkoa wa rwanda.
  13. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki mkongwe Kabeya Badu amefariki

    mwanamuziki Kabeya Badu amefariki leo. Chanzo cha habari TBC fm
  14. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    zoezi la kuhesabu kura kenya limeingia dosari baada ya computer iliyokuwa inatumikia kupata hitilafu. Hivyo masanduku yote ya kura yanapelekwa nairobi kuhesabiwa manually.
  15. KIPUMPUSWA

    JamiiForums Tanzania Mbunge yule Kijana aliyeniomba Ushauri...!

    huyu hapa.
Back
Top Bottom