Kauli ya Mh. Membe mgogoro wa mpaka Malawi

Kauli ya Mh. Membe mgogoro wa mpaka Malawi

The Hague! Anyway, kama UN itaamua kwa kuwapa ziwa lote Malawi kwa kutumia Heligoland - Zanzibar Treaty, tutarejda na kudai kufutwa kwa mataifa ya Rwanda na Burundi kwani mkataba huo unatambua eneo hilo ni sehemu ya Tanganyika. Kagame na Nkurunzinza wanakuwa wakuu wa mikoa ya Rwanda na Burundi mtawalia.

mi ntahamia mkoa wa rwanda.
 
Dah watanzania ni watu wa ovyo sana,hata kama nchi yako inakosea usichoke kuitetea,wasomi wa humu mnashangaza sana,sasa kama ur not committed to stand for your country who will?tuache mambo ya siasa when it comes to national matters wengne si wanachedema wala wanaccm..vyama vyenu visituharibie nchi yetu.
 
Mkoani kilimanjaro kuna kaziwa kadogo tu kanaitwa CHALA lakin tumegawana pasu kwa pasu na Kenya sasa huyu mama anaetaka kuchukua ziwa lote upande wa Tz kwa nin isiwe upande wa Moqambique ndo pazur zaid? Ingekua rais wa awamu hii ni EL saiz angeshawa North Korea
 
Back
Top Bottom