Recent content by kipozi

  1. kipozi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT, nini kinachowazuia kuanzisha freelancing website's

    Nadhani ipo nimesahau jina ila Haina ushawishi sana
  2. kipozi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi Wana shida gani?

    Ni ushamba unawasumbua
  3. kipozi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Pole ila hapo unatakiwa uwe mkali vinginevyo ndoa itakushinda hakuna mafahali wawil we ndo unatakiwa uwe na maamuzi ya Nini kinapikwa kulingana na budget Yako na ratiba ifatwe ilo jiko ni lako lake ameliacha kwa mume wake sasa asikuingilie na usiongee na house girl ongea nae mwambie wifi naomba...
  4. kipozi

    JamiiForums Tanzania Ni jina Gani la utani la mchezaji lililokuvutia msimu huu?

    The wall of Jericho
  5. kipozi

    JamiiForums Tanzania Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

    Huwa najiuliza Kwanini sehemu nyingi za waswahili hawafungui maduka asubuhi Arusha saa 12 maduka ya mangi mtaani yamefunguliwa ila Kwa Tanga Dar na Zanzibar wanachelewa sana mtu anaewahi anafungua saa moja Tena hao wa saa Moja ni wachache
  6. kipozi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    No mimi sijawahi kuguswa na wachawi
  7. kipozi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ndugu yangu wa damu ni mshirikina

    Hata Mimi ndo makanisa yangu kila nnapoenda TAG au EAGT
  8. kipozi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

    Mi huwa nikikuta daktari kijana naishiwa nguvu kabisa siwi comfortable napenda kitibiwa na madaktari watu wazima
  9. kipozi

    JamiiForums Tanzania Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

    Mimi the weekend namsikiaga tu sijui wimbo hata mmoja ila ed Sheeran najua nyimbo zake nyingi
  10. kipozi

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya 'Ruti' mpya Dar

    Ivi goba hamna gari za mawasiliano coz pale Kuna gari zinapita msasani
  11. kipozi

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kifurushi cha Dstv cha shilingi 23,000 nimepewa Channel nne tu.

    Star times hata kama hujalipia unapata local channels zote
  12. kipozi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ubunge Viti maalum wapewe wanawake tu, vipi nasisi wanaume?

    Hivyo viti maalum hawajakurupuka kuviweka waliona jamii haimpi fursa sawa mtoto wa kike kusoma kama inavyompa wa kiume so ikabidi watoe nafasi za upendeleo ili wanawake nao wapate nafasi bungeni
  13. kipozi

    JamiiForums Tanzania HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

    Anafeli lamata Jua Kali ingetakiwa iwe imeshaisha anaizungusha mpaka inaanza kuboa
Back
Top Bottom