ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,428
- 118,978
Mbona Mbezi-Bagamoyo ni mbali kuliko Bunju K/koo, abiria wapo sana tu mi naona.Hakuna Boss atapeleka gari sehemu ya mbali afu abiria hakuna.
Bunju KKOO hiyo ruti hautatokea sababu ni mbali sana
Mbona Mbezi-Bagamoyo ni mbali kuliko Bunju K/koo, abiria wapo sana tu mi naona.Hakuna Boss atapeleka gari sehemu ya mbali afu abiria hakuna.
Bunju KKOO hiyo ruti hautatokea sababu ni mbali sana
Mbezi Bagamoyo anapakia kuanzia Mbezi,Madale,Bunju,Boko hadi Bagamoyo na nauli imesimama.Mbona Mbezi-Bagamoyo ni mbali kuliko Bunju K/koo, abiria wapo sana tu mi naona.
Ni nzuri kwa kupitika magari ila ni korofi sana haswa kipindi kama hiki cha mvua! Hata hivyo ki biashara Operation cost itakua juu sana ni rasta mwanzo mwishoTegeta-Kimara via njia nne kupitia temboni njia ni nzuri kabisa.
Mkuu kwani Bunju-K/koo kuna tofauti gani na Tegeta-K/koo, nielimishe hapo?Mbezi Bagamoyo anapakia kuanzia Mbezi,Madale,Bunju,Boko hadi Bagamoyo na nauli imesimama.
Bunju KKOO hakuna anayeweza peleka gari
Hii natamani iwe Kwembe-Kimara via zone road.😁(japo ndio hivyo hakuna lami)KWEMBE-MBEZI KIMARA
Buyunu sio chanika kiongoziChanika mawasiliano mbona zipo.
Zimeandikwa BY/SOKONI - SIMU2000
Ivi goba hamna gari za mawasiliano coz pale Kuna gari zinapita msasaniHili swala wahusika wapo humu tunaomba walifanyie kazi. Fikiria watu wanaoishi maeneo ya Goba akitaka kwenda msasani anatumia magari matatu. Yani goba makumbusho, makumbusho morocco, afu ndo wapate la kwenda msasani. Kwa wanaoishi madale ndo wanatumia magari manne kabisa
Ila si zinapiklta chanika?Buyunu sio chanika kiongozi
Hakuna Boss atapeleka gari sehemu ya mbali afu abiria hakuna.
Bunju KKOO hiyo ruti hautatokea sababu ni mbali sana
Ni nzuri kwa kupitika magari ila ni korofi sana haswa kipindi kama hiki cha mvua! Hata hivyo ki biashara Operation cost itakua juu sana ni rasta mwanzo mwisho
Bado kubovuNiliisahau nyomi ya Msumi hivi kuna lami kule? Last time nilikuwa nawaona wakifika Mbezi Mwisho wananawa ili wasiende mjini na mavumbi
Ruti nzuri ...ila itabidi walete magari mazuri sio ile mingarangara brake mkononi..Msumi - Kariakoo
Mpigi Magoe - Kariakoo
Msakuzi - Kariakoo
Hii mitaa watu wanateseka sana
Mpaka kiongozi mmoja akaishi huko, haswa wa tanroad! Kwetu huko kuna barabara inajengwa haina hata tija zaidi tunashukuru pana panda thamaniNdo wazirekebishe maana ukifungua ruti umefungua biashara nyingi na frame zitajengwa sana mapato yataongezeka
Mtu anaeishi madale mwisho na maeneo ya njia ya madale karibu na njia nne kwahiyo aende mpaka tegeta au anatakiwa aende njia nne?madale-nyuki, nyuki-morocco, morocco msasani. La nne lipi ndugu muongo!
Ni matumizi ya muda vibaya. Kutoka mawasiliano kupita sinza kanisani pana umbali mrefu sanaIvi goba hamna gari za mawasiliano coz pale Kuna gari zinapita msasani
Msumi - Kariakoo
Mpigi Magoe - Kariakoo
Msakuzi - Kariakoo
Hii mitaa watu wanateseka sana


