Recent content by Kipokola

  1. Kipokola

    Yericko Nyerere na wenzake wenye Mashaka na Lissu waende kwenye Kaburi la JPM halafu wamuulize Tundu Lissu ni Nani? Maana huenda hawamjui vizuri

    Angekuwa ananunulika hiyo chadema isingekuwa hapo! Majority ya sisi waswahili ni key board warrior.. tunajua kubweka kwenye mitandao ila field sasa ni mbwa koko
  2. Kipokola

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hii nchi kuendelea bado sana, kwa aina hii ya "great thinkers" tuna safari ndefu sana. Mtu kaanzisha Uzi wake, hajakuita, humlipi chochote, lakini unataka kumpangia Cha kuandika. Mazee kaanzisha Uzi wako huko wa hiyo "true story" isiyo na chai uandike kile unapenda! Muda wote hii chai, hii...
  3. Kipokola

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Bei gani unauza?
  4. Kipokola

    Tahadharini LG Tv Workshop usithubutu

    Ahsante sana mkuu lakini ingekuwa poa safi ukanishauri kimuundo au matumizi inakuaje? Yaani ni kama projector ya kawaida unatumie na PC au inakuwaje!! Natanguliza shukran mkuu
  5. Kipokola

    Tahadharini LG Tv Workshop usithubutu

    Gharama yake ni kiasi gani?
  6. Kipokola

    Tahadharini LG Tv Workshop usithubutu

    Hii inafanyaje kazi bro, please naomba uzoefu.
  7. Kipokola

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Kama uko Dar na unayo mayai kaka, fanya tuwasiliane tufanye biashara. Mimi nipo maeneo ya Msewe
  8. Kipokola

    Natafuta wanunuzi wa mayai

    Yana ukubwa gani mkuu? Mimi nahitaji niko maeneo ya Msewe Ubungo. Unaweza kuweka namba yako hapa kwa mawasiliano?
  9. Kipokola

    Wajumbe mnahitaji kutumia busara sana katika uchaguzi wa UVCCM

    Sijaona la maana kwenye post yako. Nyakati hizi si za kuwaza ukabila bali uwezo na ubunifu wa kiongozi haijalishi anatoka ukanda upi as long ni mtanzania. Tunataka mabadiliko chanya, Twende na Mathias Simon Kipala!
  10. Kipokola

    Watapambana sana ila hawata weza kwani mwenye sifa na uwezo ndiye huyu

    Huyu jamaa Matias Simon Kipala namkumbuka sana aisee... Toka UDSM alikuwa rais wa serikali ya wanafunzi. Jamaa anayo misimamo sana pia busara. Nadhani ni aina ya kiongozi nchi hii inaitaji.
  11. Kipokola

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Dah! Hii kauli ya kamishina ya kutojali utajiri au nafasi ya mtu mbona ni ya kisiasa na ilishasemwa na watu Fulani...kwanini tusiamini anafanya hichi anachofanya kwa maagizo au kuwafurahisha kina fulani? Hii inaonyesha vyombo vyetu vingi vya dola vimetawaliwa na siasa hivyo kushindwa kufanya...
  12. Kipokola

    Ridhiwani akabidhi Ambulance Jimboni

    Ww hujielewi, umejaa ukada na uwezo mdogo... Unamjua kafulila wewe?.. Unadhani ni wakufananishwa na Ridhione??.... Peleka njaa zako huko, mtumwa wa akili tu ww, eti na ww ni DC!!!...Aibu tupu..
  13. Kipokola

    Kuhusu Emmanuel Nchimbi: Kama hatakiwi kuwa Spika, kwanini alipewa fomu?

    Wana ccm akili hawana, no wonder report ya twaweza ilionyesha wengi ni mbumbumbu.... Yaani wanaona ni sawa mwenyekiti wa chama kujiendeshea chama kama familia yake binafsi na kufanya wengine wote watoto wake, watafanya lolote aliloamua?.. Kwa wana ccm hapo hakuna tatizo ila tatizo ni kuwepo na...
  14. Kipokola

    Viti Maalum: BAWACHA Ruvuma wampa siku tatu Mbowe kubatilisha uteuzi wa Zubeda Sakuru kutoka Tanga

    Wamefanya nini cha maana??? Diwani wameshindwa kupata, sasa viti maalum wapewe vya nini???.. Kamati imeona iwape mwalimu ili awafundishe jinsi ya kujenga chama kama walivyofanya tanga.... Sasa wenyewe ni mbumbumbu wala hawana dira bado wanataka ateuliwe mbumbumbu mwenzao kuwaongoza.... It...
Back
Top Bottom