Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,644
- 4,186
Mbeya mjini,tray mayai yenye Baba tsh 9000,nitafute 0765432283
HAPANA JUMLA 5000Natafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0755916087.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Natafuta soko la mayai, ninauwezo wa kuzalisha try 450 za mayai kwa siku, mayai ni wa kuku wa kisasa lakini walio boreshwa wanataga mayai yenye kiini cha njano, ko hayana utofauti na mayai ya kienyeji. Size ya mayai ni makubwa, masafi na yanalingana yote kwa size. Trey moja ni 11,000 Tsh, nipo kigamboni Temeke. Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0755916087.
Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.
KARIBU TUFANYE BIASHARA.
Tupo kwenye soko huria, soko ndio linaamua bei ya vitu.Kwa Azizi Ally,mtongani mpaka saba saba vitu wanauza bei chee mfano kilo ya nyama elfu 4500-5000 , trey ya mayai jumla 5500 na rejaleja 6000 nishawishi niache kununua trey elfu 5500 nije kununua elfu 11,000 ondoa fact ya kiini kua cha njani coz ata hayo yana kiini cha njani
wakuu mnajua huu uzi wa mwaka gani?Kwa Azizi Ally,mtongani mpaka saba saba vitu wanauza bei chee mfano kilo ya nyama elfu 4500-5000 , trey ya mayai jumla 5500 na rejaleja 6000 nishawishi niache kununua trey elfu 5500 nije kununua elfu 11,000 ondoa fact ya kiini kua cha njani coz ata hayo yana kiini cha njani
Mayai ya kisasa hayajawai kuuzwa 11000 kwa bei ya jumlawakuu mnajua huu uzi wa mwaka gani?
oii kaka sss hv mimi nauza 5500 trey 500 kila siku derivery juu yanguDah basi mayai yameshuka sana kipindi hiki. Kuna jamaa akimletea bosi anamuuzia kwa 8000 ila jana tumeyafuata Tandika bei ni 6500
oii kaka sss hv mimi nauza 5500 trey 500 kila siku derivery juu yangu
Kama uko Dar na unayo mayai kaka, fanya tuwasiliane tufanye biashara. Mimi nipo maeneo ya MseweHAPANA JUMLA 5000
Bei ipoje sasa hivi?Bei kubw
Bei kubwa sana kwasasa bei imesimama 5,500/= ila kwangu nauza 6,800/= Moro
Bado unahitaji?Kama uko Dar na unayo mayai kaka, fanya tuwasiliane tufanye biashara. Mimi nipo maeneo ya Msewe
Bado unahitaji?
Bei gani unauza?
BroBei gani unauza?
Weka namba yako pia kiini kipoje mkuu6,800