Mwaka jana mnamo tarehe 5/11/2021 aliyekuwa waziri wa TAMISISEMI Ummy mwalimu alitangaza kushusha tozo za parking ktk miji yote mikubwa nchini, na kwamba kwa Dar tozo itakuwa ni Tsh 2,500 kwa siku.
Hii ilipokelewa kama habari njema kwa wananchi wanaotumia maegesho hayo kwani Tsh 4,500 kwa siku...
Mimi wiki iliyopita nilipack kisutu mida ya Saa mbili, kwa nusu Saa, baada ya hapo nikaenda Kkoo, mtu wa parking Kkoo ananiuliza umepaki wapi asubuhi hii? Mbona umechajiwa 4,500 kwa siku hii ya Leo ? Na hapo ni Saa Tatu asubuhi
Ni kweli kunanuka sana,
Mama Ntilie wanazalisha taka za maji machafu na mabaki ya vyakula kila kona ya jiji.
Hizi zote zinamwagwa njiani na kwenye mitaro isiyotiririsha maji kila siku.
Hii imepelekea harufu mbaya sana na hatari ya magonjwa ya mlipuko.
Chimbo jingine la Pochi ni pale mtaa wa Msimbazi karibu na Kwa Makoba.
Kama unaenda Fire, baada ya Msimbazi Polisi, jengo linalofuata.
Pochi zao ni nzuri sana na bei pia.
Either huna akili au hesabu ilikupita pembeni.
Mwenzako anaongelea density wewe unaongelea uzito.
Ni vitu viwili tofauti.
Lorry linapimwa kwa cubic meter / tonnes.
Ulitaka uwaone Mars au!
Makazini pia kazi ambayo wewe unaifanya 5hrs inawezekana performance ya huyo ikawa 2hrs.
Usitegemee kuwaona kwenye majukwaa ya Bongo flavor
Let's be serious.
Ku install CCTV camera miezi mitatu! Au kutengeneza camera yenyewe!
Camera unakuja na visa vyake vyote complete. Kinachofanyika ni kuunga waya na terminal zake biashara imeisha. Bora ungesema siku 2 maximum.
Vijana hawa wananjaa na lile kidogo walichonacho mnataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.