Recent content by Kipeperushi

  1. Kipeperushi

    Upeanaji number za simu

    Mwambie "tuwahiiiii...!", maongezi mengine baadae.
  2. Kipeperushi

    Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    Kuna tatizo la malipo ya pili kwa wakulima wa korosho. Wakulima wanadai 40% ya malipo yao ambayo walitakiwa kulipwa baada ya kuuzwa korosho zao kupitia mfumo wa Stakabadhi Ghalani. Tatizo katika msimu wa korosho 2011/2012 soko la korosho Tanzania limeyumba, hivyo malipo hayafanyiki in time.
  3. Kipeperushi

    Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    Fujo zipo kweli, hata mimi jana taarifa kama hii toka Tandahimba. Lakini tofauti kidogo na maelezo yako, nilichoambiwa leo asubuhi ni kwamba, baadhi ya watu ambao inasemekana kuwa ndio vinara wa hizo fujo ndio walengwa. Inawezekana huyo jamaa aliyekupa information hii ni miongoni mwa walengwa...
  4. Kipeperushi

    Unawakumbuka ma-headmaster maarufu in 80s to 90s?

    Msasa alikua Mazengo mwaka gani? Mr. Mkoba was a big name. Big up to him...!
  5. Kipeperushi

    Wadada nisaidieni hapa.

    Mwenzio anataka umsaidie mbinu sahihi.., Mtudanganye? Mtoke n'nje ya mahusiano? Mtuibie? Au...? Mpe mbinu tunataka kuziona hapa janvini, halafu kaeni pembeni msubiri zetu.., sisi zetu hazihitaji mjadala jamani wadada, mbona mnatafuta balaa?
  6. Kipeperushi

    Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

    Two in One..., au? Tumsaidie jamani, bibie kakwama...
  7. Kipeperushi

    Wanawake wote wakiwa independent...wanaume tutalia.......

    Mkuu tupe namba yake ya simu tuifanyie kazi, please...!
  8. Kipeperushi

    Yupi anafaa kua mume...Ushauri plz

    Problem itakayojitokeza kwa huyu m'dada, baada ya kupata third relationship, ni ku-break second relationship. According to her, ni kwamba she seem to love her second boyfriend too much in stead of how he treat her out of 'soccer city', and mind you, true love never die. My advice to this mama...
  9. Kipeperushi

    Ebu shangaa kikwenu tuone

    Baaa...!?
  10. Kipeperushi

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Ina maana unataka kutuambia kwamba hujui kama mtandao wa Freemasons umeingia mpaka Vatcan? Mkuu unao mtandao hapo, hebu peruzi kuwanza halafu ndio urudi kujenga hoja kwenye hii mada. Unajua kwamba Pop hivi karibuni alishatoa tamko la kuwepo haja ya Dunia kuwa na mtawala mmoja? Kama unajua kwenda...
  11. Kipeperushi

    Hivi utafanya nini hili likikutokea?

    Angalia comedy ya Majuto, "MZEE WA CHABO", majibu yote yamo humo.
  12. Kipeperushi

    Naomba maoni yako!

    Mwambie acheki bp kwanza...
  13. Kipeperushi

    Naomba maoni yako!

    Mkapime nini tena? Mwaka m1 ulikuwa unaishi nae ki-vipi? Kama falsafa yako ni kutopima HIV, ina maana sometimes hata segele kavukavu kwako ni poa tu. Sasa kama mwaka mzima uko na huyo best usitudanganye kwamba hamjapiga pekupeku. Mwambie best afumbe macho tu msubiri matokeo. Kama hakuelewi pm...
  14. Kipeperushi

    natamani mume wangu anywe pombe

    Ahaa...! Kumbe sababu zako ni hizi...!? (1)Unapenda achelewe kurudi mpaka saa nne usiku ili uwe na muda wa kutosha kwenda kupigisha n'nje. (2)Akirudi nyumbani kapombeka, lazima atakuwa na usingizi mzito. Ikiwa hivyo unamsachi mifukoni na kuondokomba chenji iliyobakia. We bibie unatisha...!
  15. Kipeperushi

    Jihadharini wizi mpya wa fedha zilizoko kwenye m-pesa

    Pamoja na kutuomba tufikishe ujumbe kwa ndugu na marafiki zetu, na wewe tunakusihi elimisha ndugu na marafiki zako. Ni aibu sana kwa mtu wa kizazi hiki kushindwa kujifunza hata mambo mepesi kama kutoa pesa kwa huduma ya M-pesa au kutumia ATM. Nasema ni aibu, tena ni ujinga usio na msamaha...
Back
Top Bottom