Recent content by kipasola

  1. K

    JamiiForums Tanzania BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Ni kweli mkuu ndio maana viongozi wakristo wamejaa magerezani kwa kusema kwao ukweli mkuu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Bakhresa group punguzeni udini

    Sahihi mkuu na Ivona Kamuntu yule mswalihina kabisa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bakhresa group punguzeni udini

    Mkuu ni kwelu kabisa ndio maana Charles Hilary kapewa kazi ni muislam yule hata na Patrick Nyembera wote waislam wale,uko sahihi kabisa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Sahihi kabisa ndio maana anawaongoza maprofesa na madokta mbalimbali kwa karama zake na si cheti mkuu[emoji16][emoji16][emoji16]
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Willian anasema Ronaldinho ni kiboko kuliko Messi, unakubaliana nae?

    Messi will never reach Ronaldinho's level,he will remain to be best player but Ronnie is the definition of football
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katembelea mikoa mingi sana, si mbaguzi kama wasemavyo

    Hasa ikiwa hawajampa kura
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba na Mtibwa wanahoma zinazofanana!!

    Tumeona mechi kubwa na Mbao FC, Yanga walipiga mpira wa kufa mtu na ni kweli simba hawabadiliki ndio maana michezo yao yote hutumia mfumo wa 3-5-2 hawabadiliki hii toka msimu umeanza
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Waliovamia ardhi ya Wizara ya Elimu walinipa kura, wasihamishwe

    Sahihj mkuu wale wanaume wa Dar walojitia hawakumpigia kura wacha wajibebe[emoji16][emoji16][emoji16]wabomolewe tuuu ili 2020 wampigie kura[emoji16][emoji16][emoji16]
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Mkuuu upo wewe???
  10. K

    JamiiForums Tanzania Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Iko siku"
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makamanda, njooni na huu mkakati wa kuelimisha umma kipindi hiki cha biashara hii haramu inayoendelea

    Si lazima kuwe na shule za tope mkuu, yapo mengi tu,ht wale waliovunjiwa nyumba zao huku kukiwa na zuio la mahakama,hali ngumu ya maisha inawakuta watu wote,jambo la msingi waje na suluhisho la matatizo hayo na sio porojo tu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu yatanda kwa walimu wa sanaa katika shule za sekondari hapa nchini juu ya kuhamishiwa shule za msingi (IKAMA)

    Mwalimu wa msingi akiwa chuoni anafundishwa kuwa mwalimj wa masomo yote ya msingi,walimu wa sekondari wanafundishwa kuwa walimu wa somo moja au mawili tu. Sasa leo mwalimu ametoka sekondari anafundisha history anaenda msingi anapangiwa afundishe hesabu,mie nadhanj ufaulu utapanda hapo au...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu yatanda kwa walimu wa sanaa katika shule za sekondari hapa nchini juu ya kuhamishiwa shule za msingi (IKAMA)

    Mie naona waondolewe wote tuu maana hayo masomo hayana faida kwetu,hao walimu warudishwe majumbani
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Uwe unatembea na mafuta vilainishi kabisa ili siku ukifumaniwa isiwe kazi ngumu sana mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom