Rais Magufuli katembelea mikoa mingi sana, si mbaguzi kama wasemavyo

Lindi alienda nakumbuka alitoa order kivuko kiwekwe na mradi wa maji utekelezwe.

Mtwara alifika hadi Dangote na sasa hivi wanafanya installation ya gesi kwa amri yake.

Pemba/Unguja alienda.

Pwani amekwenda

Arusha/Manyara alienda na sasa hivi wanajenga ukuta kuzunguka mgodi.

Kigoma alienda kama mnakumbuka Zitto alitoa pongezi.

Mwanza, Kagera, Dodoma, Shinyanga kote kapita.

Acheni unafki aisee chuki hazijengi.

Sasa hivi yuko Singida
Anafanya nini akifika huko?

Uzinduzi wa Viwanda chakavu,kupokea Mamlulki n.a. kurusha vijembe!
 
Anafanya nini akifika huko?

Uzinduzi wa Viwanda chakavu,kupokea Maliki n.a. kurusha vijembe!
Agenda hapa mnasema ni mkanda kitu ambacho c kweli...km anaenda kufungua viwanda chakavu hiyo ni ishu nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom