Wanajamii forum naomba kuuliza.
Kuna tetesi kuwa Jamii Forum ina mahusiano ya karibu na WAPINZANI. Je, ni kweli?
Kwani kuna baadhi ya post zenye kuwagusa wapinzani huondolewa muda mfupi tu baada ya kupostiwa.
Nahitaji maoni yenu wadau. Tafadhali msiniondoe ni maoni tu.
mkulima wa korosho lazima alindwe kwa hali na mali maana hilo swala la kangomba facilitator ni wanasiasa , hapa dawa ni kuonyesha shamaba ndio unalipwa
Haki sawa kwa wote baba.sisi wananchi wa kawaida tukikiuka masharti ya dhamana tunachukuliwa hatua lakini kiongozi akikiuka asichukuliwe hatua sababu yupo juu ya sheria au!uo ni uzwazwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.