Recent content by KIPANYA

  1. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la pilipili mbuzi

    Jamani nina shamba la pili pili mbuzi, zipo tayari kwa kuvunwa, naomba kupata soko lake na bei
  2. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI SULPHER POWDER , MWENYE NAYO ANICHEKI

    nahitaji sulpher powder ya njano
  3. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania GYPSUM

    Jamani nina sehemu ya kuchimba minerals za gypsum sasa nahitaji kujua soko lake ntalipata wapi na huwa wananunua kwa tani au? Naombeni ufahamu kwa hayo, maana nina eneo kuubwa sana lina hizo product
  4. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Kwa mwezi huu huwa wanatoa kwa awamu 2 au? Maana Mimi nilipeleka tarehe za mwisho za mwezi wa 6 mkoani ili yaende tamisemi! Na inamaana kama mkoani walipeleka mwezi wa 7 it means hadi January 2016? Nisaidieni ufahamu
  5. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze bei ya rubby kwa gram ikoje sasa hivi?

    Okey nimewapata nashukuru sana
  6. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnijuze bei ya rubby kwa gram ikoje sasa hivi?

    Naombeni bei jamani
  7. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu CISSA

    Shukran kaka
  8. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Ufahamu kuhusu CISSA

    Wana JF naomba kuuliza. Hivi ukiwa na diploma ya IT u aweza kusoma cissa au hadi uwe Bch au Masters ?
  9. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Nina shida na software ya ARCMAP 9.3

    Wana Jf naomba mwenyewe software ya ARCMAP 9.3 aniwezeshe jamani.
  10. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania CISA vs ACCA

    Ada ya cisa ni sh.ngapi eti jamani
  11. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Msaada wa program ya print shop

    naomba yeyote mwenye program ya printshop jamani anisaidie.
  12. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kwa njia ya mdomo, ni chanzo kikuu cha saratani ya koo

    Aiseeeeeee! Wazeee wa kitu cha chumvi muache jamani.
  13. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

    Ila aiingiii akilini kwa kweli! Sasa alibeba na lift au torori huyo mtoto wa kike? Mifuko 3 ya cement jamani sio mchezo
  14. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Membe: Msije Dar wakati wa ziara ya Obama

    Bado viongozi wetu ni dhaifu kwa mataifa makubwa
  15. KIPANYA

    JamiiForums Tanzania Je usemi huu n kwel?

    Mhh! Tunawaachia wenyewe! No comments
Back
Top Bottom