Mwanamalumbe we unajua kumbe drycell ndo nzuri, mimi shamba napokaa nawashkaji kama watano tulinunua la solar pamoja ila wao wakajifanya wajuaji wakachukua betry za maji ila mimi nikachukua drycel, basi jamaaa wote sasa hivi betry zao zishakufa na wananiletea smartphone zao niwachajie kwangu
Charger control zipo nzuri tu za India hadi 30,000 na warranty one year usiwe mvivu tu wa kutozunguka madukani. Nenda maduka ya wahindi kkoo wana vifaa vyote vya solar, unaweza zunguka maduka hata maduka 20 hafu utagundua vifaa vya solar vipo vingi na bei tofauti tofauti.
Waje kina nani? Au unadhani mi nimetoa hewani nilichomshauri. Mimi pia ninatumia solar huu mwaka wa pili namaliza na sijapata tatizo lolote ndio maana nimemshauri kadri ya nijuavyo kuhusu solar systrms mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.