Recent content by kioo93

  1. kioo93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hatari wakuoa!

    Mbona wanafunzi wanapitaga huko sio salama aisee
  2. kioo93

    JamiiForums Tanzania Unafikiri ni kauli ipi inatisha kuliko zingine kwenye dala dala?

    Mwenye kaumia
  3. kioo93

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam wa computer software

    Hiyo cooling compound nitaipataje sababu mafundi wengine sio wakuamini anaweza weka for temporary I'll urudi tena
  4. kioo93

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam wa computer software

    Situmii blue stack
  5. kioo93

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam wa computer software

    500gb, 2.2ghz, 64bits, core i3
  6. kioo93

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wataalam wa computer software

    Nina matatizo mawili kwanza computer yangu ni HP pavilion g4 inanguruma abnormal kwenye feni baada ya kushusha window 7 na kuweka nyingine same type. Pili kwa wale wanaojua kutumia statistic analysis SPSS yangu nikiingiza data nikitaka kuserve inastack na kutofanya kazi zaidi ya kuminimize tu
  7. kioo93

    JamiiForums Tanzania SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

    Majina yalio toka ni machache sana
  8. kioo93

    JamiiForums Tanzania SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

    Hali tête note crdb bado na dalili hakuna
  9. kioo93

    JamiiForums Tanzania SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

    Yapita sasa wiki tatu na wengine wiki NNE bila boom wengine hatujaona maina ya kusaini ilihali vyuo vingine mambo ni poa. Huku kwetu vipi tumekopa hadi basi. Saidieni kutufikishia ujumbe majuu au kama kuna viongozi wa serikali humu embu watuangalie na sisi
  10. kioo93

    JamiiForums Tanzania Kiwanja

    Kwa MTU anayeuza Kiwanja morogoro cha kawaida naomba ani tag. Pia isiwe mbali sana na mjini mwisho km 20
  11. kioo93

    JamiiForums Tanzania Msaada huu ni Ugonjwa gani na nitumie dawa gani

    Nafikiri niukosefu wa vitamin a hivyo wape Dawa ya vitamin a. Hii hutokea sana kwa vifaranga na kuku wakati wa kiangazi wanapokosa majani
  12. kioo93

    JamiiForums Tanzania Natafuta pumba za mahindi kavu tani moja

    Ongea bei ilitupate moyo wa kuongea na wewe sio unataka kutu blackmail
  13. kioo93

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

    Aiyaa Mi nakujua dogolenyewe yuko kerege ntamfwatilia nichomeshe maindi huna adabu unajifanya kidume
Back
Top Bottom