Recent content by KIOO

  1. KIOO

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    Nilishamwambia huyu jamaa weka hata covers za movie husika inaweza kumshawishi mtu. HAELEWI HATA.
  2. KIOO

    JamiiForums Tanzania Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Watu wangefanya mpango waweke app ya kuhifadhi WiFi kwenye simu then ukitoka eneo lenye WiFi unaweza kutumia sehemu nyingine hizo Data hata kama ukiwa nyumbani, hata ikiwa ya kulipia watu wataliipa pesa nyingi tu.
  3. KIOO

    JamiiForums Tanzania Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Haujaielewa hoja yangu mkuu. Hebu soma vizuri...!
  4. KIOO

    JamiiForums Tanzania Idea gani ya app unatamani iwepo Tanzania mpaka sasa hujaiona?

    Kwa nini wasi-create app inayoweza ku-download au ku-feed WiFi kwenye simu ukitoka eneo lenye WiFi unaenda kutumia WiFi uliyoi-feed kwenye simu hata kama utakuwa mbali na hiyo WiFi husika...?
  5. KIOO

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

    Oooh okay sawa kiongozi.
  6. KIOO

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

    Sawa hamna shida.
  7. KIOO

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA kwa kuita watu interview,ila zipo changamoto za kutatua

    Amesema cheti chake kimepotea. Akija na Affidavit, Loss report na Copy ya cheti hawezi kusaidika kijana amesota sana mtaan aisee.
  8. KIOO

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

    Mafuta ya Zeitun hayatengenezwi kutokana na hilo tunda, matunda ya Zeitun ni madogo kiumbo kuliko hilo tunda.
  9. KIOO

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

    Watu wamezoea kuita Zeitun ila sio na sijui linaitwaje...! Nimeshakula sana hayo matunda yana unga unga hivi
  10. KIOO

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa matunda Hili ni tunda gani?

    Sio Zaitun hilo...! Zaitun ni Olive.
  11. KIOO

    JamiiForums Tanzania WAZOEFU NA BIASHARA, NAWEZAJE KUPATA 20K PERDAY KWA MTAJI WA 5M

    Boda 2 ni bei gani kwani...? Fanya mkataba natumai boda inalaza 10k kwa siku, watasaidia waliokwishafanya kazi hiyo. Kila la heri.
  12. KIOO

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Ipo Play store au...?
  13. KIOO

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    Ungekuwa unaweka na cover ingependeza zaidi kiongozi...!
  14. KIOO

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Na vipi kuhusu CX5 kiongozi...?
Back
Top Bottom