Recent content by Kiongozi Miongoni

  1. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Rest in peace brother
  2. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?

    Je ni kweli kuwa jogoo akizeeka huwa anataga yai moja?
  3. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Wizi wa masega kwenye magari

    Wasalaam wana wa Jehova. Kuna tatizo linaendelea kuwa sugu katika jamii yetu. Kuna kitu kinaitwa masega kwenye exhaust ya magari na hiki kitu kina kazi maalumu katika mfumo wa gari, sijui kazi yake kubwa ni nini kwa maana mimi siyo mtaalam wa mambo ya magari. Last week gari yangu ilikuwa...
  4. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Mikopo umiza inawamaliza Walimu

    Wasalaam wana wa Jehova. Kuna tatizo kubwa serikali inabidi iingilie kati ili iweze kuwanusuru watumishi wa kada ya ualimu hapa nchini. Walimu wengi wamekuwa ni wahanga wa tatizo hili, last time kwenye group la WhatsApp la mtaani kwetu kuna mtu alituma kimakosa salary slip ya mtumishi mmoja...
  5. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Sitosahau jinsi nilivyonusurika kuwa Mwalimu

    Wasalaam wana wa Jehova. Ilikuwa mwaka 2007 wakati nimemaliza kidato cha nne nakumbuka wakati huo tunajaza form maalumu za kuchagua vyuo vya kati na shule za Advanced level. Kulikuwa na MWALIMU mmoja ambaye alikuwa ni rafiki wa familia pia wakati huo aliungana na wazazi wangu wakinitaka nijaze...
  6. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Hata hasipoendelea na porojo zake
  7. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni suala la mabasi kutembea kwa mwendo kasi

    Nauli 120000 umeshindwa nn kupanda ndege?
  8. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni suala la mabasi kutembea kwa mwendo kasi

    Nauli 120000 umeshindwa nn kupanda ndege?
  9. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

    Kama hataki aache tu, lakini nafikiri na hili mkaliangalie tena
  10. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Nipo Nyamisati, nimeambiwa nilale siku mbili ndipo nitapata usafiri wa kuelekea Mafia

    Na kuna watu wamekufa kwa kula kasa huko uendako
  11. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

    Lete maneno
  12. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Tuungane Kwa pamoja kuwasemea walimu, wanakufa na njaa huku

    Walimu hawalipwi mishahara bali wapewa rambirambi
  13. Kiongozi Miongoni

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wanafaidi mema ya dunia

    Boma yee
Back
Top Bottom