Kiongozi Miongoni
Senior Member
- Feb 6, 2021
- 195
- 256
Wasalaam wana wa Jehova. Kuna tatizo kubwa serikali inabidi iingilie kati ili iweze kuwanusuru watumishi wa kada ya ualimu hapa nchini.
Walimu wengi wamekuwa ni wahanga wa tatizo hili, last time kwenye group la WhatsApp la mtaani kwetu kuna mtu alituma kimakosa salary slip ya mtumishi mmoja mwalimu ambapo ilionekana Mwalimu huyo anekopa zaidi ya million 24 CRDB bank na pia amekopa SACCOS ya halmashauri na mbaya zaidi amekopa na kwenye kampuni nyingine ya mikopo inaitwa Finca Microfinance na kutokana na hali hiyo mshahara wake wa kupeleka nyumbani baada ya makato yote ni kama laki 150,000. Hii ni hali ya hatari sana.
Wakati ninaongea na rafiki yangu kuhusu kisa hiki yeye akaniambia usimshangae huyo kwa maana ana unafuu kidogo. Akaniambia kuwa yeye kuna mwalimu mmoja jinsia ya kike alikopa kutoka kwake shilingi 200,000 kwa riba ya asilimia 40% mwaka 2021 mwezi wa nane na mpaka sasa bado hajarejesha mkopo wa msingi bali anamlipa riba ya 40%kila mwezi kama shilingi 80000. Hii ni hatari pia.
Katika kuendelea na maongezi rafiki yangu pia alinidokeza kuwa kuna jamaa yake anawakopesha walimu na huwa anakaa na kadi zao za Bank, mwisho wa mwezi anachukua mshahara wote na anawapa kilichobaki.