Recent content by Kinyoo

  1. Kinyoo

    Tecno Phantom A VS Samsung Galaxy S4 - Utofauti na Usawa!

    Kufanana kwao ni kwamba,zote unaweza kuibiwa,hakuna inayojilinda.hapo sasa
  2. Kinyoo

    Natafuta Mchumba hadi mke alie TASA....

    Nishakuwaga na mtoto tangu nikiwa form 4,so biashara hiyo nishamalizaga.Natafuta demu tasa tule bata mpaka tuzikane. Sifa nyingine ni awe murembo kwa kiasi chake au zaidi,sio mnene wala kimbao mbao.Elimu ya kutosha kujieleza vizuri kwa lugha zote english na swahili.Umri usizidi miaka 30.mimi...
  3. Kinyoo

    Mheshimiwa Rais, Napendekeza Kodi ya Line ya Simu ya Shilingi 1000 kwa Mwezi Isifutwe...

    Kwanza kwa shule yangu ya kayumba,najua kodi hutozwa vs mapato,sasa hii kodi ya line ya simu ina formula gani,vs mapato gani...watu wanakurupuka tu utafikiri wanawaza na ma------.yaani matonya kwa mapato yake ya kodi ya line analipa sawa na SS baresa.Hii tanzania ni laana,akili ndogo inaongoza...
  4. Kinyoo

    Ulaya mwanzo mwisho

    Ndo waliotuletea ngoma hawa usisahau ilo
  5. Kinyoo

    Ulaya mwanzo mwisho

    Mama mmoja wa kizungu,alitaka kumuua mumewe.Sasa paliponiacha hoi,eti akajipaka sumu ukeni.Ulaya kuna vituko,ebu shusha kituko chako ulichowai sikia kutoka huko majuu...
  6. Kinyoo

    Chuo cha urubani Tabata?

    Kwa Wana Jamii wote, Pale kwenye kile chuo hawatoi kozi za urubani never never.Hawana hata nusu ndege.Kile chuo kimesajiliwa na TCAA,na wana ruhusa ya kufundisha Flight Operation Officer au kwa jina lingine Dispatchers.Ni Approved Training Organization for hiyo kozi tu.Ila huyo mjomba anawahadaa...
  7. Kinyoo

    Caldina New Model 2004,for sale.

    mtu serious namletea dk 0.gari ipo dar.
  8. Kinyoo

    Caldina New Model 2004,for sale.

    Hello JF, Looking for serious buyer,no dalali.I am selling my car,very considerable price,silver in colour,BRJ plate number. Feel free to call,0712 203565.(u will never beat my price anywhere else.)
  9. Kinyoo

    Ushauri Needed.

    Habari wana JF,hasa upande huu wa mabiashara.Ninachoomba wana JF wenzangu ni Business Plan,ya Capital ya Mil 30. Nini mtu anaweza kufanya nazo,ili aweze kupata mafanikio ya kibiashara.Ninaomba ushauri,royality will be paid after the business picked up. Karibuni. pia unaweza uka e...
  10. Kinyoo

    Pilots Sponsorship Announced,Hurry!!

    NVITATION FOR SPONSORSHIP TO TRAIN PILOTS. The Tanzania Civil Aviation Authority (the Authority) was established on 1 November 2003 as a corporate body, pursuant to the Civil Aviation Act, Cap. 80 (R.E. 2006). The Act mandates the Authority to provide safety, security and economic...
  11. Kinyoo

    Kikwete awapa polisi fundisho

    Hana habari.
  12. Kinyoo

    Baada ya Mwakyembe kusafisha ATCL,Marubani wasio na kazi wamwomba aichambue TCAA

    Marubani wa kitanzania tena waliojisomesha kwa ela zao,kwa ada ya zaidi ya millioni 60 kila mmoja, Wanamlilia Waziri kupitisha fagio la chuma TCAA,kwa vile viongozi wa taasisi hiyo kwa sasa wameshikiliwa na Small airline operators.Watanzania wananyanyaswa kwenye ichi yao,tena wengine kwa...
  13. Kinyoo

    Landcruiser Mkonga

    Gari za kisasa ndio inawezekana,na ni electronic system tu,sio mechnical.
  14. Kinyoo

    Landcruiser Mkonga

    Natafuta landcruiser mkonga,lililo kwenye afya nzuri, Ndani na nje.lenye leaf au coil sawa tu,ili mradi tuelewane. Vitara pia 3 doors kama iko kwenye mstari natafuta pia.Piga 0712203565.Nipo dar.
Back
Top Bottom