Kauli ya kiongozi mkubwa wa serikali kuwa "PAMBANENI MPATE KATIBA MPYA" inazua mjadala mzito wa kisera na kisiasa kwa sababu inaweza kutafsiriwa kuwa jukumu la kuleta Katiba Mpya limehamishiwa kwa wananchi, vyama vya siasa, asasi za kiraia na watetezi wa haki za binadamu, ilhali mamlaka ya...
Nimekuwa nikivuta sigara mwaka wa 9 huu..hapo nyuma kidogo nimekutana na binti alinipenda hv hv na mifegi yangu,na tukaishi vzr kabisa ila nature iliamua siko nae sasa nimepata mwingine nae anavumilia japo najitahidi sana kiwa smart na mwenye kunukia kila wakati,napiga mswaki mara kwa...
Habari za Jioni wapendwa.
Ninaomba nakala Ya kitabu cha MATTHEW MULUMBI Part 2 YA mwandishi Patrick C.K.
Nimetafuta kila kona sijapata hivyo basi aliyebahatika kuwa nacho anisaidie na mimi hapa
Natanguliza shukrani zangu za dhati 🙏
Daah hii mada yako imenigusa sana nimeachana na madem zangu kadhaa kisa sigara nilianza nikiwa chuo japo sio mraibu wa pombe ila fegi ilikuwa hunambii kitu japo nina muda wa miaka 3 hv tangu navuta. Lkn no one noticed zaidi ya wale watu wangu wa karibu sana Nashukuru hata wazazi wangu...
Ningeweza kukwambia umpeleke pale KANTALAMBA BOYS High school iko sumbawanga mjini lakini kwa kuwa unataka karibu na DSM....lkn ni shule inayofanya vzr nanda za juu kusini ukitoa IYUNGA BOYS
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.