nathani inategemea na mazoea yenu huko nyuma...! mtu hawezi kutoka huko atokako ivi ivi akakuliza umevaaje??...
nathani maongezi baina yenu lazima yawe na ukomo na ukomo unatengenezwa either na wewe au huyo...
May be UMEVAAJE ndo jambo la msingi kwako!!! Muhimu ni kuwa mwaz na kuweka...
pole sana,atapatikana mwingine kama yupo.
Muhimu yakitokea kama hayo,usijilaumu sana piga moyo konde...maisha lazima yaendelee..
Zaidi na zaidi jiulize umejifunza nini ili usirudie tena kosa.
yawezekana lkn fahamu kuwa;
Nyie akina dada mnapenda sana kudanganywa na kusifiwana mambo kama hayo...afu kumbuka umeongelea KUTONGOZWA,sasa bidada ulitegemea kipindi icho mtu aanze kuongelea kuongezeka kwa deni la taifa atakupata kweli unahisi??!! By da way,inachukua time for real men kukwambia...
ndugu swala sio kuwa hapa kitambo!!! hilo sie halitusaidii wala hatupaswi kulijua!! watu wanangalia je ulicho kipost kinauzito gani!!! huo umri baki nao wewe..sie twaitaji point zenye uzito!!! "kipara bila busara is nothing"
pole bt usimlaumu Mh kabla hujamuuliza baba kama kala msosi au la!!!lkn mababa wa siku izi anaweza kukwambia alikuwepo lkn yeye hakula!!! akili kumkichwa...
hahaha ndugu ntachagua sofa!!!!! bt kuna sofa zingine hazina TBS ukikalia tu mgongo unauma!!! Godoro ni zuri but ukiyaweka pamoja magodoro 3 afu ukayalalia...nathani uwezi fika asubuhi maumivu ya mgongo...so kizuri ni kipi??..
Hi,
Pole na pilika pilika za siku hasa hapa tunapoelekea weekend na mvua izi zinazonyesha mda wa usiku ndo balaa!sijui sie walala nje weekend ikinyesha itakwaje..
Back to point, I stand to differ kwa leo ndugu zangu wanaume...kuna kitu nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sipati majibu...hivi...
hapo kwenye kijani ndo panatufanya tuendeshe gari!!!So ikiwa kijani tunakanyaga mafuta kwa kwenda mbele...orgasm kwa mwanamke ndo mpango mzima hayo mengine..sijui urefu...sijui romance ni manjonjo tuuu..
hapo kwenye nyekundo ndo utata unapoanzia kwenye hii mitandao....hahaha..bt mwanaume wa kweli hawezi ombwa namba na vocha then akachukua kiulaini may be...
pole but mambo mengi mazuri yanaitaji uvumilivu.
Kuwa mvumilivu na pia usioneshe kuwa umeuzunika mana anaweza kuthania kuwa ni wale wale kula kusepa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.