Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam.
Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi kuweka mchango au malalamiko...
Wavamizi wakati wana hati?je hizo hati zilitolewa na nani?na watu wamekuwa wakilipia hizo hati mpaka sasa leo wanaitwa wavamizi?!
Viwanja vimeuzwa vyote ndani ya dakikoa moja?!
Sasa mtu anasema alipeka kwa mshidani wake "Aliponda.."sasa ata ungekuwa wewe utamsifia mpizani wako ?
Chief angalia records za ufaulu wa shule ndo kitu cha muhimu,nidhamu na freedom of mind ya watoto.Mengine majungu ya ushindani tu.
Ni kweli inawezekana fake lakini nimekuwa mara nyingi natumia Tradecarview,sbt japan.beforwarding na mara chache hizo site za kampuni binafsi kama picknbuy24.com,everycar.jp etc.
Mfano nilinuninua gari tradecarview kwenye kampuni moja tukaelewana nikalipa tena kupitia huduma yao ya paytrade na...
Bank hawausiki na transactions au manunuzi unayoyfanya zaidi ya kutuma TT.
Nikweli nimekumbana na changamoto za online transactions japo sijatapeliwa kwa asilimia 100. Nimekuwa nanunua magari kutoka japan tangu 2009,mara nyingi nimekuea nakutana na changamoto za hapa ja pale lakini pia kama...
Kujua hayo niliyo uliza itaifanya hii fulsa kuwa nzuri zaidi,hasa ukizingatia ukuaji wa technolojia na manunuzi kupitia njia za mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimekuwa nikinunua magari mtandaoni kutoka Japan,lakini mara nyingi nimekuwa nikikutana na changamoto za hapa na pale na pia nina jamaa zangu na marafiki zangu wametapeliwa kwa njia tofauti tofauti au
- Kubadilishiwa gari na kutumiwa gari hisiyo uliyochagua.
- Kutuma hela baadae...
Nafikiri wewe ata kazi itakushinda ,kama watoto kwenda chuo wanatumia system za online ,mkopo wa elimu ya juu n.k ,jiongeze aisee siyo kila kitu kulalamika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.