Recent content by kinsman476

  1. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Part2 Baada ya simu ile kupigwa, nilimuomba yule mzungu dakika moja. Nilipomaliza kuongea, nikarudi kwake. Akanitazama akasema, “Everything okay?” Nikamuambia, “Yeah, everything is fine.” Akatabasamu, halafu akaniuliza, “So, where were we?” Nikacheka nikamwambia, “You were telling me that...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Be patient Mr✌️✌️
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    "Kiingereza ni lugha ya kigeni, siyo kipimo cha ulemavu. Mtanzania akichapia Kiingereza si ulemavu — ni changamoto ya mfumo wa elimu. Kiswahili tunakiongea kwa ufasaha wa hali ya juu; hiyo inaonyesha uwezo wetu wa lugha. Hao uliowataja ni vipaji vilivyopata fursa — wapo Watanzania wengi wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini. Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja amesimama pembeni, anaonekana kama amepotea. Nikajiambia moyoni, Kinsman, leo English yako itapimwa.😂...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hadithi

    MWIZI WA KUKU 😂 Usiku mmoja, Juma alisikia kelele nyuma ya nyumba: “Kuku! Kuku! Kuku!” 🐔 Akaamka haraka, akachukua tochi na kwenda kuangalia. Akamkuta mtu ameshika kuku wake! Juma akapiga kelele: — “WEWE MWIZI!” Mtu akakimbia. Juma akamfuata mpaka akamkamata. — “Acha kuku wangu hapo!”...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Post ya Lionel Messi instagram yazua gumzo akidai kuwa mjadala wa GOAT umetamatika

    Messi hajali kuhusu kuwa GOAT anafurahia kuwa miongoni mwa wachezaji bora But all in all messi is GOAT
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Amesha kuambia "karibu"
  8. K

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Lipia tangazo?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    It goes like mmmmmmhhhhhh but I think u'r still a 🦠🦠🦠
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata Demu Mzungu

    Mmmmmmhhhhhh
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maisha yakoje?

    ."Usijenge maisha ya kuonekana vizuri mbele ya watu, jenga maisha ambayo yatakufanya ujiheshimu ukiwa peke yako." 1.Jifunze kila siku — mtu anayekua kila siku hawezi kubaki sehemu moja. 2.Chagua mazingira yako — watu unaokaa nao wanaweza kukuongezea nguvu au kukupotezea muda. 3.Heshimu muda —...
Back
Top Bottom