Recent content by Kinnsasa1

  1. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Mvua ya leo ni dalili mwezi uliandama jana

    Nani aliyeuona Jana
  2. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli na Serikali yako haraka sana imulikeni BBC idhaa ya Kiswahili

    Sijui wengine Hua wanatapikwa au wanazaliwa? manake hii nchi inawatu wanafki kupindukia eti inachuki na rais aongee vya ajabu yeye limtu linasimama bbc iangaliwe kwa jicho kali fanyeni mazuri kama hamtapongezwa
  3. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

    Chuga
  4. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani unaoongoza kwa Warembo Tz?..

    Chuga
  5. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Lijuakali: Ndege moja tayari hairuki ni mbovu sababu ya one man show

    Jaman ndege na gari sijui mnavifanana nishaje, gari na ndege kweli?
  6. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Ugaidi una mafungamano na Waarabu lakini siyo Waislamu:

    Kwanza tungefaham ugaidi nn ndipo mengine yaendelee kwan kuna wkt Mandela aliwekwa ktk list ya magaidi nakuzuiwa kutodhuru mataifa ya USA UK na mengeneyo mpaka alipofikisha miaka 90 ndipo walipo mkaribisha London siku yake ya kuzaliwa
  7. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Kitabu kipi kilichoandikwa nayeyote isipokua binadam
  8. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Probox bei gani
  9. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Msimamo wangu wa kutoteua upinzani bado upo palepale

    Ubaya wanajiuzulu nafasi zao
  10. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania ist inauzwa gari iko vizuri sana

    5.5 mkuu
  11. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinachokera duniani kama kuwa na shemeji ambaye masikini na hana msaada na wewe

    Unazani alichofata Dada yako ni hila sio
  12. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Nakosa imani na mbunge wangu, Halima Mdee. Tufanyeje kumuondoa kikatiba?

    Bungeni kuna zaidi ya wabunge 350 jiulize ni wabunge wangapi huzungumza mpaka bunge linapoisha, acha upuuzi, wako wabunge mpaka miaka nitano inaisha hajasimama hata Mara tatu hawa ndio unawataka sio? Tambua kama hujawahi kukosea imaana hujawahi jaribu ama kuthubutu
  13. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amshukia Mrisho Gambo, amtuhumu kuleta Siasa kwenye Msiba

    Hembu jiulize hivi, gambo angempa Lema nafasi ya kuzungumza na wafiwa nn kingefuata ama kuharibika pili gambo asingebadilisha kutoka uwanja wa mashujaa mpaka majengo pangeharibika nn? Kuna wkt nawaza hata MTU kua gaidi ni sahihi
  14. Kinnsasa1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nairobi dar vitu viwili tofauti
  15. Kinnsasa1

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

    Kwahivyo wao wanavyotuzuia saa nzima kumsubiri kiongozi iliyeko mkoa mwingine hua hawaoni ni usumbufu au wanakujaga week and
Back
Top Bottom