Dubai Market
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,186
- 1,595
- Thread starter
- #81
Na kibra pia kipo kule (al'qaaba)nanchi inayo ongozwa kifalme hilo ulisahau
Na kibra pia kipo kule (al'qaaba)nanchi inayo ongozwa kifalme hilo ulisahau
Shangazi nakuona ulivyoshiba pilau na bilauri!Mwezi mmeuona jamani
Mbona kibra na hijja unafuata kimataifahivi nchini tanzania mwezi umeonekana mkowa gani au mnafata mwezi wakimataifa oman leo wamefunga
Idd mubarak!Mie nik pamoja nawe huku nilipo tunakula idd leo sip tz watz wangoje mwez wa bakwata
Acha kabisa mjombaShangazi nakuona ulivyoshiba pilau na bilauri!
Big up[emoji123] ukiionekana nafunga ukionekana nafungua regardless nchi gani as long as hatujapishana kwa cku wenzetu wana vifaa vya kuangalia mwezi sisi tunausubir kwa macho na mawingu haya Mungu atusamehe kwa kweli ukiangalia kenya na Saudi saa tupo sawa sawa na cku na tarehe ila inatokezea cku mwez unaonekana kenya tunatangaziwa kufunga au kufungua kwann tusifunge n tusifungue unapoonekna saudi wallahi Mungu atusamehe tunavoendesha dini kibinadam[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Sipingani nawe ni ktk kujenga uelewa wa pamoja mkuu. Mfano, Mwezi ukionekana morogoro halafu Iringa haujaonekana unataka wengine wafunge na wafungue sio?? Na je unaizungumziaje ile hadithi inayosema kuna wakati mtume alifunga kwa kuambiwa tu kuwa mwezi umeonekana mji mwingine na wala si wao waliuona ktk mji wao.
Ni Sawa bakwata wako chini ya ccm.... Je ansaar sunna wako chini ya nani?Bakwata sawasawa na ccm
Hiyo namba 2 sio sababu ya msingi,kuonekana kwa mwezi kunategemea nchi na nchi,haina maana eti Saudi arabia ikiwa Eid basi dunia nzima iwe eid,tunaambiwa "fungueni/kuleni sikukuu mnapouona mwezi umeandama"
Hatukuambiwa tuifuate Saudi arabia,ndio maana utaona leo Saudi arabia ni Eid ila majirani zake kama Oman leo sio Eid.
Dalili zote za kijaahil.... Dini haiendi kwa kubahatisha.... Tafuteni fatwa za wanazuoni wakubwa wa zama hizi kama allama Uthaimin, bin Baaz. Albani wanasemaje kuhusu muandamo wa mwezi? Huu sio mpira ni dini acheni upuuzi.Wakuu habari za swaum,
Kwa wale waliofunga kama mimi na eid Mubarak kwa wanaokula sikukuu siku ya leo. Ama kwa hakika mimi kwa mtazamo wangu kwenye suala la muandamo wa mwezi naona leo (Jumapili) ilipaswa iwe sikukuu kwa dalili na sababu zangu zifuatazo;
1.Mvua inayoendelea kunyesha leo ni dalili kabisa ya kuwa mwezi umeandama jana, wajuzi wa mambo ya mwezi wamenithibitishia kuwa mwezi uliandama ila haukuonekana, leo asubuhi nilionana na mzee mmoja mashuhuri kwa shughuli za uvuvi pale ferry sokoni akanambia kwa ufupi tu "kwa dalili za Jana mwezi uliandama ila haukuweza kuonekana" na kwakuwa Tanzania kuna baraza kuu yaani (BAKWATA) kiitifaki tunabidi tusubiri tamko lao kama ilivyo ada maana ukiipinga BAKWATA sawasawa na kuipinga serikali.
2.Ikiwa kitovu na chimbuko la uislam, alipozaliwa mtume Muhammad (S.A.W), ilipoteremshwa Qur'an tukufu katika nchi ambayo ndio tunaenda kufanya hijja na nchi ambayo baadhi ya miji yake imetajwa mpaka kwenye Quran leo hii wanakula Eid el Fitr.
Hitimisho:
Tuendelee kuzingatia itifaki maana leo uonekane usionekane lazima kesho tule Eid maana tunasubiri kuonekana sio kuandama.
Ni Sawa bakwata wako chini ya ccm.... Je ansaar sunna wako chini ya nani?
vipi ukionekana Uganda kama ilivyoonekana jana?
mleta mada amezungumza vizuri mno kwamba mwezi umeandama lakini kinachosibiriwa na waliowakabidhi dini yao BAKWATA NI KUONEKANA KWAKE.
Kuandama ni jambo jingine na kuuona pia ni jambo jingine mfano jana Zanzibar kulikuwa na wingu, ungeonekanaje?
usimkabidhi sheikh yeyote yule dini yako.
TUSOME TUIFAHAMU DINI KWA KITABU NA SUNNAH NA SIO KILA JAMBO KUTEGEMEA MASHEIKH WATATUPOTEZA WENGINE NI VYEO TU!
Dalili zote za kijaahil.... Dini haiendi kwa kubahatisha.... Tafuteni fatwa za wanazuoni wakubwa wa zama hizi kama allama Uthaimin, bin Baaz. Albani wanasemaje kuhusu muandamo wa mwezi? Huu sio mpira ni dini acheni upuuzi.
Wako chini ya allahNi Sawa bakwata wako chini ya ccm.... Je ansaar sunna wako chini ya nani?
Mwezi mmeuona jamani
Ofisi za BAKWATA ujenzi ulizinduliwa na BASHITE alafu sheikh wa mkoa wa dar akatangaza kabisa kuwa 'iydul fitr itakuwa tar.26 na akataja eneo la kusalia hiyo sikukuu ya serikali.![]()
Ulishaandama huu, watu ni wabishi tu. Hao Bakwata wanafuata kalenda ya serikali, ilishawekwa mapumziko ni siku mbili. Ije kwenda kinyume haijalishi itatimizwa, ndiyo namna dini inavyoendeshwa kisiasa
Hahaa, nafikir wameuona ulivomkubwaamimi nilisema leo mvua imenyesha kuuficha mwezi[emoji23] wanaanzaje kuswali juma2
leo litatoka zinga la mwezi