Recent content by Kinkunti El Perdedo

  1. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Nchi ya wachuuzi hii, matajiri wetu wanaweza kumiliki viwanda vya juice tu ,rejea maneno ya Prof.Muhongo
  2. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Machinga wanaonewa sana na Serikali hii

    Katika suala la kufanya miji na majiji kuwa misafi na iliyo pangiliwa niko pamoja na serikali. NB:Wapangiwe maeneo ya kufanya biashara zao.
  3. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli Nembo mbalimbali za michezo ni Free mason?

    Hizo stories zipo kwenye vijiwe vya kahawa.
  4. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nasikitika kusema kwamba umechelewa sana kulitambua Hilo.
  5. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mtego wa demokrasia na Katiba Mpya Tanzania

    Siasa za Afrika ni pasua kichwa
  6. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Mnyika amedhihirisha kwamba uprofesa wa Tanzania ni takataka

    Kuna tofauti Kati ya akili halisi na kukariri madesa.
  7. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania We mwl. Kuluthum Lema wa S/M Kimandafu uko juu ya waziri wa Elimu? Kwanini uwachape wanafunzi waliofika shuleni kabla ya saa moja asubuhi?

    Mnataka kuleta kizazi cha watoto wavivu na wajinga wajinga sana.Waalimu kamatieni hapo hapo huu upumbavu wa kutaka kuleta u princess and u prince shule hapana.
  8. Kinkunti El Perdedo

    JamiiForums Tanzania Butiku: CHADEMA wanafadhiliwa wala sio siri

    Mizee ya Cold war ambayo GT MALCOM LUMUMBA amekuwa akisema mara kadhaa kuwa ni Sumu ndani ya taifa hili.
Back
Top Bottom