Hurray! Tumegundua mafuta darajani! 😂

Hurray! Tumegundua mafuta darajani! 😂

Hureeeeeeeeey. Basi sasa wauvunje tu huo muungano wao haramu
Hadi sasa, hakuna nishati ya mafuta au gesi asilia iliyogunduliwa rasmi kwa ajili ya biashara visiwani Zanzibar, ingawa tafiti za kijiolojia zinaonyesha kuna viashiria vikubwa sana vya kuwepo kwa rasilimali hizo katika bahari yake.

Ili kuthibitisha uwezekano huo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC), ilisaini mkataba mapema mwaka 2026 na kampuni ya Africa Geophysical Services (AGS) kufanya utafiti wa kisasa wa pande tatu (3D Seismic Survey).

Kazi hiyo ya ukusanyaji wa data za kina za kijiolojia inatarajiwa kukamilika ifikapo Februari 2027 ili kuonyesha maeneo sahihi yenye rasilimali hizo kabla ya kuanza uchorongaji wa visima.Sambamba na utafiti huo, serikali imetenga vitalu 8 vya bahari kuu na vitalu viwili vya aridhini vya Unguja na Pemba kwa ajili ya kuvutia wawekezaji wa kimataifa.

Kisheria, tangu mwaka 2015, masuala ya mafuta na gesi si mambo ya Muungano tena, hivyo Zanzibar inasimamia yenyewe sekta hii na inajiandaa na miundombinu mikubwa kama ujenzi wa bandari ya nishati ya Mangapwani.
 
Hili si jambo la kuchekesha pekee. Ni aibu kwa taasisi za umma kutokuwa na kumbukumbu za historia ya eneo maarufu kiasi hiki. Daraja hilo linaweza kuwa sehemu muhimu ya urithi wetu na ushahidi wa namna Stone Town ilivyokuwa imetenganishwa na Ngambo kabla ya kufanyika reclamation.
Hii ingekuja kabla ya tamasha la hivi majuzi basi kuna mtu angepongezwa balaa
 
Aliyebuni hili sijui kichwani yupoje? Wacha wachoronge waje zamisha kisiwa chenyewe!,bora wachoronge baharini kuliko kutekenya kisiwa!😃😃😃 JOKES
chenyewe!,bora wachoronge baharini kuliko kutekenya kisiwa!😂
 
Kuanzia sasa tutarajie kuimarika kwa biashara ya urojo hapo darajani.
 
Back
Top Bottom