Recent content by KINKOLA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa

    Wadau hatimaye Seketarieti ya ajira wamefunguka juu ya nafasi za kazi zilizotangazwa na www.eastafricajobscareer.com. tangazo hilo la kughushi na lenye nia ya kupotosha umma. Tunashukuru Sekretarieti kwa tamko hili maana vijana wetu walikuwa ktk mkanganyiko.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa

    Mimi ni mdau mkubwa sana ktk mitandao ya kijamii, Hupenda kutafuta habari mbalimbali na kuwapatia vijana wenzangu ambao hawana access ya moja kwa moja na internet. Kuna kipengele cha ajira/ nafasi za kazi zinazo kuwa posted ktk mitandao mbalimbali, huwa natafuta vyanzo then nawajuza vijana...
  3. K

    JamiiForums Tanzania ku download

    ndugu yangu chief mkwawa hapo umetugusa wengi kwani nami pia ni begginer.... natakuwa kuwa na download softwarez mbalimbali with their keyz...pliz help
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sizitaki Mbichi Hizi!!

    sio mchezo kaka umetukumbusha mbali sanaaaa!!!!.... kipindi hicho kweli elimu ilikuwa elimu!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Watanzania hatuna budi kujivunia rasilimali hizi tulizopewa na Mungu,, hivyo tuna wajibu wa kuzitunza na kuzilinda.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Ebwasa sisi Simba tuko juu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Majina ya kuchekesha ya wanachama wa JF

    Hivi kwanini wana JF tusitumie majina halisi???
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006

    Ndugu yangu MKimbizwambio!!! Nina msaidia mdogo wangu ameibiwa vyeti vyake kuanzia original mpaka copy of original sasa amechanganya index number namba yake, si unajua wadogo zetu tena!!!!! Alipoenda polisi kureport akaulizwa index number hapo ndio ikawa shughuli. Hivyo natafuta ili niweze...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006

    Nimejaribu bila mafanikio ndugu yangu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006

    jamani ndugu zangu nina shida kweli na matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006, hususani ya Morogoro Sekondari mwak 2003 na Kigurunyembe Teachers college private candidates mwaka 2006
  11. K

    JamiiForums Tanzania msaada katika tuta

    Habari wana Jamii natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006 katika mtandao. Wadau naombeni msaada
Back
Top Bottom