Natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KINKOLA, Mar 4, 2012.

 1. K

  KINKOLA Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani ndugu zangu nina shida kweli na matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2003 na 2006, hususani ya Morogoro Sekondari mwak 2003 na Kigurunyembe Teachers college private candidates mwaka 2006
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Jaribu kwa ku google jina lako!
   
 3. K

  KINKOLA Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu bila mafanikio ndugu yangu
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Matokeo ya nini mkuu. hujui kuwa ni nyaraka za siri?
  Kama unatafuta matokeo yako binafsi nenda Baraza la Mitihani.
   
 5. K

  KINKOLA Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu MKimbizwambio!!!
  Nina msaidia mdogo wangu ameibiwa vyeti vyake kuanzia original mpaka copy of original sasa amechanganya index number namba yake, si unajua wadogo zetu tena!!!!!

  Alipoenda polisi kureport akaulizwa index number hapo ndio ikawa shughuli. Hivyo natafuta ili niweze kumsaidia aone index number yake
   
 6. +255

  +255 JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Ni PM jina lake!
   
 7. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  wewe vp uko kijj gan? kwan siande shule aliyosoma? au wewe ndio wale2 mnaopend kufuatilia matokeo ya mtu?
   
 8. h.imani

  h.imani Senior Member

  #8
  Jan 4, 2013
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 185
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Tuma jina lako kisha nitatafuta na kukupa matokeo yake
   
 9. K

  Kibinza New Member

  #9
  Jan 13, 2013
  Joined: Jan 13, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kusikia tetesi za matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatoka lini mwezi,tarehe?
   
Loading...