ku download | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ku download

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MTU MREFU, Mar 8, 2012.

 1. MTU MREFU

  MTU MREFU Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  naomba msaada wa jinsi ya ku download,nlikua natumia file tube sasa hv inagoma
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,788
  Likes Received: 7,109
  Trophy Points: 280
  generally kudownload ni kama experience the more you download the more unakua aware na tricks mbali mbali za download. Kwa sababu wewe ni beginner vizuri ungespecify ni download za aina gani unataka
   
 3. MTU MREFU

  MTU MREFU Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  just ku download movies kwanza ndugu yangu,gues ntakua experienced later on,u torrent inanishinda
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,788
  Likes Received: 7,109
  Trophy Points: 280
  vizuri ukidownload movies kwa torrent uwe na unlimited internet connection,

  ili kudownload torrent lazima uwe na client yake inaweza kua utorrent au bittorrent

  search google "utorrent download" then download na install kwenye pc yako then kudownload movies just gooogle it

  Mfano unataka movie ya van damme bouble impact andika hivi google "double impact torrent" (funga na fungua semi usiandike)

  Kwa kuongezea ukidownload torrent click magnetic link (inakua na picha ya sumaku ndogo) au sehemu yoyote iloandikwa download torrent usiclick sehemu zilizoandikwa direct download

  Lakini torrent si njia pekee ya kudownload movies. Zipo movie nyingi zimekua uploaded katika web mbalimbali

  Unaweza download movies kupitia rapidshare, mediafire na nyenginezo.

  mfano unaweza search google "no retreat no surrender mediafire" utaona result zinakuja website au blog zenye hio movie ikiwa uploaded mediafire.

  Movie nyingi za mediafire au rapidshare haziwi single link zinakua parts parts movie moja inaweza kua na part 5 so unatakiwa uwe na software ya ku extract kama winrar, winzip au 7zip.

  Sometime unaweza kuwa na bundle ndogo ya internet usihofu zipo movies za mb300 format ya mkv zenye quality nzuri tu kwa pc.

  Ili kuzipata ukisearch movie ongeza neno mb300 mfano "no retreat no surrender 300mb mediafire"

  Kama utapata tatizo utasema
   
 5. MTU MREFU

  MTU MREFU Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  thanxs a lot nimekupata,ntaendelea kukutafuta nikipata matatizo ma friend
   
 6. K

  KINKOLA Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu chief mkwawa hapo umetugusa wengi kwani nami pia ni begginer.... natakuwa kuwa na download softwarez mbalimbali with their keyz...pliz help
   
 7. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Njia rahisi,search kwenye Google software ama chochote utakacho ila kwa mbele ongeza neno Mediafire,utapata full.
  Mfano:Adobe Photoshop CS5 Mediafire

  Then zikija results chagua ambazo zina neno Mediafire.
   
 8. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,788
  Likes Received: 7,109
  Trophy Points: 280
  mara nyingi software pamoja na crack zinapatikana torrent lakini pia mediafire rapidshare zipo cha muhimu ni kucheza na google inabidi uwe brief na ucheze na keywords mfano kama alivosema jamaa adobe unaweza andika adobe photoshop cs3 crack download basi utaona result nyingi tu.

  Kuna baadhi ya website ni fake hazina hivo vitu but zina appear katika result je utazijuaje?

  Google wanatoa link na short description so web fake nayo utaona inatoa result pia mfano utaona neno search result of ........... So better uzijua ili ziki appear usizifungue
   
 9. Mandasi Technologies

  Mandasi Technologies Member

  #9
  Jan 1, 2013
  Joined: Dec 19, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  10x a lot
   
Loading...